JF na nicknames.......

sweetie ndo umeniua kabisa,domo la mpoki,du!
Hujambo lakini SL?mwenzio nimejipa likizo ya kufikiri.
Umeona domo tu, ule weusi na kitambi je? Matege nayo wamwachia nani?...lol.

Mie sijambo Bishanga, memiss wewe sana!


Jipe likizo kwa raha zako bana, maisha yenyewe mafupi ukifikiria kila dakika waweza zeeka siku sio zako..
 
Weeeh bepari la kihaya unantafuta maneno eeh? Usione mtu ana kikuku na kavaa mpasuo paja nje ushaanza majina ya ajabu ajabu?
first lady-corazon aquino
kongosho-simenye(mwanariadha wa south africa)
king'asti -mama terry
ashadii-namweka kiporo (ban inanukia)
 
Ni jambo la kawaida wanajamii kupeana 'nicknames', mimi nimeshuka na hizi:
Bishanga- tajiri la kihaya
Aspirin- babu revola
Lizzy-condoliza rice
Kongosho-AC/DC
AD-mama maua
Michelle-mrs HC
Faiza foxy-Ana makinda
Kabakabana-zipu mkononi
Cantalisia-binti mtambuzi
Mtambuzi-mzee wa busara
Husninyo-miss mpwapwa
The Boss-mzee wa nyumba ndogo
Fidel-infi wa ukweli
Figanniga - .........
popobawa - ......
...........- binti mcharuko
..........-chakubimbi
dena - chaukali
jazieni hizo dot dot (mi naogopa ban) na kisha tuendelee......
Heshima yako Bishanga,
Heri ya mwaka mpya,
Dah!Sikujua km hiyo ndio neckname yangu aisee!
 
Cantalisia mie mzima. Hiyo avator nimejaribu kumuwakilisha mwafrika wa ukweli
Dah!mbona waafrika huwa tunatabasamu,
Huyu wako yuko very serious bana lol,
Dah!hapo nickname inabidi ujipe tu mwenyewe,mie nakosa ujasiri kila nikiiangalia atii!
 
Siku tukionana pale kb kwa rafaeli nitakuambia mimi ni nani!!
Upo bado pande zile?
Lol...wacha nikubali kwa shingo upande bana! Nimeondoka kitambo sana, si unajua kule kama hakuna tatizo twakutana mara moja kwa mwaka? Au wewe una mpango wa kwenda tena?....
 
PAW ananiaminia, issue ndogo ndogo kama hizi kaniruhusu nimalize na gun!
Bishanga leta kiuno hapa, mama koku malalamiko yake ya infii niya-solve once and for all!
Hahaha! Mke mwenza kwa masifa sikuwezi, umeshajisifia kule kwenye uzi wa wifi letu? Mie kule naingia kama guest tu!
 
Ni jambo la kawaida wanajamii kupeana 'nicknames', mimi nimeshuka na hizi:
Bishanga- tajiri la kihaya
Aspirin- babu revola
Lizzy-condoliza rice
Kongosho-AC/DC
AD-mama maua
Michelle-mrs HC
Faiza foxy-Ana makinda
Kabakabana-zipu mkononi
Cantalisia-binti mtambuzi
Mtambuzi-mzee wa busara
Husninyo-miss mpwapwa
The Boss-mzee wa nyumba ndogo
Fidel-infi wa ukweli
Figanniga - .........
popobawa - ......
...........- binti mcharuko
..........-chakubimbi
dena - chaukali
jazieni hizo dot dot (mi naogopa ban) na kisha tuendelee......
Naomba ubadilishe hiyo nickname ya huyu Mwanangu Cantalisia, kwanza ananiweka roho juu kila siku humu, mpaka siku hizi siweki mambo yangu ya ujanani hadharani tena.................(kwa kudai M-Pesa ili asitoe siri ndio zake) hafai huyu kuwa Binti Mtambuzi. Pili sijui hata ndululu yake ya kununulia tumbaku, mtoto nimsomeshe halafu hataki hata kurudisha chenji yangu..............Mzee mwenzangu naomba ufanye editing uondoe hilo jina la Mtambuzi hapo kwenye jina lake.
 
Lol...wacha nikubali kwa shingo upande bana! Nimeondoka kitambo sana, si unajua kule kama hakuna tatizo twakutana mara moja kwa mwaka? Au wewe una mpango wa kwenda tena?....
Kule kurudi bado sana...kule kwenda ni once a year otherwise kuwe na tukio ambalo ni lazima mtu uende!!
 
Unadhani kupendwa na PAW issue ndogo eh? Acha nijishebedue mtoto wa kike,lol!
Nshajifagilia, afu eti kaona wivu anadai anamhurumia kakake! Huyu wifi siku hizi, sijui ananizunguka?
Hahaha! Mke mwenza kwa masifa sikuwezi, umeshajisifia kule kwenye uzi wa wifi letu? Mie kule naingia kama guest tu!
 
Back
Top Bottom