JF na nicknames.......

JF na nicknames.......

1. Bishanga- tajiri la kihaya aka Mpoki wa O'comedy!

2. nitonye- masanja mkandamizaji

3. Rejao- mizengo pinda

4. Kongosho- beatrice wa BSS.
sweetie ndo umeniua kabisa,domo la mpoki,du!
Hujambo lakini SL?mwenzio nimejipa likizo ya kufikiri.
 
Hahaha! Haya ngoja nibadilishe!
Rejao- Nape Nnauye!
lol...ngoja niwe mpole tu cuz unaweza ukamwaga list hapa mpaka ukashanga unanigusa kweli!!
Nakutafutia aka yako!!
 
toka nje basi mara moja,utaniona nimepaki merc 600S ukisogea nitafungua dirisha.

Heshima yako kwa 'warembo' iko wapi?
Mi hua nafuatwa sio nafuata, na kuinama kwenye vidirisha vya gari nayo mwiko.
 
Back
Top Bottom