JF Mods naithamini kazi yenu

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,067
Reaction score
2,229
Kwanza kabisa poleni na majukumu ya uendeshaji wa jamvi hili.
Leo hii nimeshuhudia uwepo wa kitufe cha "Thanks" kwa mobile users.kwa niaba ya wengine nachukua fursa hii kuwashukuru na kuwapongeza.inaonyesha ni jinsi gani mnajali bila kubagua.
Na mimi natoa ahadi kuanzia mwezi wa 3 mwaka huu mtaanza kuulamba mkono wangu.
Nashukuru na kazi njema!

JACK BAUER,
CTU.
 
Daaaaaaah, umenikumbusha ngoja nianze kujichanga....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…