Jf mobile

Jf mobile

Kurunzi

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
10,197
Reaction score
11,628
Kunawakati feauture ya new topic haitokei kwenye simu yangu je kunatatizo na mtandao wa JF AU SIMU YANGU NAOMBENI MSAADA
 
Kunawakati feauture ya new topic haitokei kwenye simu yangu je kunatatizo na mtandao wa JF AU SIMU YANGU NAOMBENI MSAADA

Pole member!
Basi ungetaja aina ya handset unayoitumia!
Labda kimeo? Samahani kama utanielewa vibaya sijakusudia kukunyanyapaa!
Mod usini BAN.
Nimetumia lugha rahisi ili nieleweke!
 
Kunawakati feauture ya new topic haitokei kwenye simu yangu je kunatatizo na mtandao wa JF AU SIMU YANGU NAOMBENI MSAADA
Itakuwa tatizo la simu yako, mbona mimi ipo??
 
Hamna mbaya mkuu si unajua tena uchumi na maisha yamepanda ni sony ericson T700 NITASHUKURU KWA MSAADA
 
Nafikiri simu yako inauwezo mdogo kufungua JF ambayo watu wengi wanafungua kwa wakati mmoja na JF ni kubwa
 
Back
Top Bottom