anjnr
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 539
- 208
Ni kama siku tatu au nne sasa napata tatizo la jf app kwenye simu yangu kila nikifungua inakataa na kuleta message kwamba "check with the forum administrator" sijui hii shida ipo kwangu tu au ni tatizo la system? Naombeni msaada. Natumia Huawei Ideos ya android platform.