JF Men Talks . . . This and That . . . .

kwasababu tunawapenda na bila cc mafanikio kwenu ni kidogo sana,sawa tunategemeana but mnatutegemea zaidi
Originally Posted by TANMO

Hawa washika viwembe mbona wamejaa humu?
juzi walinikosa kosa na viwembe vyao nilipoingia kule kwao kwa bahati mbaya hawa,,
Leo wamechukua nafasi ya akina Baba hapa, Lol..............
 
ah ah ah usijali nimeiona lkn mi bado mdogo mda ukifika tu jamaa atafika bei na atajua kuwa namfaa zana si unajua mambo mengine ya interview ni ya kichumbani zaidi,sasa niliyenae ni wa kitanga anaanzia wali na chapai za nazi,then tunaenda kucheza mdumange hukoooooooooooooooooooo
Khaaaaa . . . poa bana. Kuwa mpole basi . . . . No.8 si umeiona? Au kwa kuwa uko single and not searching . . .
 

Nakuaminia kijana wangu, umenigusa.

Mazoezi si lazima uende Gym kama huna muda, hata kukimbia, au kubeba vyuma vitu vizito, kutembea jioni au asubuhi, kuendesha baiskeli, kuruka kamba nk.

Lishe bora imekaa vema. Si lazima nyama choma saaana na ulabu. Hata supu ya mchicha au maharagwe ambaavyo havina chorestral au fat could mean a lot

Kitimoto actually medically ilishakuwa proved kuwa wana vimelea vingi sana vya magonjwa. So kazi ipo hapo . . .

La mwisho limekaa vema. Hapa ni mwendo wa ujasiliamaali na ubunifu kwenda mbele. Pia kuwa na kiasi vinginevyo ufisadi utawakaa akilini au kuja kujenga nyumba nzuri, kuendesha gari nzuri na kuwa na great family itakuwa ni ndoto tu.
 
<br />
<br />
Asante kwa taarifa ila mnatufukuza kwenye thread yenu., wabaya nyie
 
muache kuwatolea macho hasa kwenye manyonyoz,titiz,miguuz and makalioz am out msinipige bureeeeeeeeee

Duh! Wewe ni noma sana Pearl . . . ndo zenu hizo nini? labda display za low cutting zimekuwa nyingi plus vimini vya kubana na vifupi juu ya magozi nk.

Ngoja tuongee tuone tutaepuka vipi haya mambo.
 
Yaa, naona wamejaa tele humu, hata zaidi ya walengwa.......
Tuwatoe nduki kama vipi,,,, Lol

Uzuri wake sisi hatufungi vibwebwe au kutiana visukuo . . . lol

Ni hoja bin hoja . . . Haluuuuuuuuuuuuuu
 

Mkuu next time ukitaka kwenda ni PM.

Namjua mtoto wa Owner ambaye ni msimamizi. Kuna vidiscount fulani vya kishikaji viko poa.

Halafu pia kuna duka karibu na Rozana samora na lile opposite Mavuno House. Liko poa pia.
 

Jamani . . . mara Wanawake Tunaweza Tukiwezeshwa . . .

Mara . . For every Successful Man, there is a Woman behind etc etc

Which is which now?
 
si mniulize mm karume pale namchukulia Mr boxer,vest shirt na suruali kwa jero?mbn anatoka pamba tu?mpaka mkamuone mtoto wa owner ya nn yote hayo?
Mkuu next time ukitaka kwenda ni PM.

Namjua mtoto wa Owner ambaye ni msimamizi. Kuna vidiscount fulani vya kishikaji viko poa.

Halafu pia kuna duka karibu na Rozana samora na lile opposite Mavuno House. Liko poa pia.
 

I hope wewe si Mwanajeshi maana Wanaume Mabwege bado wapo . . .

Look bana, uzuri wa Mwanamke Ni tabia. Si uzuri wa umbo wala uzuri wa sura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…