Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,845
Haya magari haya🤔🤔God is good all the time,
All the time....(don moen)
humu ndani kuna vijana wanatupiga za uso nyingi sana!
mpaka sasa nimeshawakariri members 21,(kwa Id zao) hawa watu ni waongo: ninaposema ni waongo ujue ni waongo kweli kweli (standard gauge)
ni kweli mnafurahisha na kuchangamsha lakini mnazidisha!!
kuna mtu anakuja na stori yake ya kujitungia tungia tu alafu anavaa uhusika yeye mwenyewe, mwisho wa siku, (tena sio mwisho wa siku: kesho yake) utoana analeta mada nyingine ambayo ukilinganisha na ile ya kwanza, hazileta picha kabisaa!
kama unajijua unakuja hapa kufurahisha (uongo) na huwezi kukumbuka ulisema/utasema nini kwenye nyuzi zako,
basi tumia nafsi ya mtu mwingine ~yeye,ali ,wao nk
sio "mimi" nikawasha gari langu nikaondoka(mfano lakin) alafu mwisho wa siku unakuja hapa kulalamikia "ajira"
kwani hilo gari ni la mkopo??
...ok ngoja ninyamaze ili kuepuka shambulio!
na mkija kivingine, naanza kuwataja mmoja baada ya mwingne, si nawajua!!
sema uongo kwa akili, tena pale tu inapokulazimu kusema uongo.. Sio unakuja hapa jukwaani kumwaga uongo usiokuletea faida yoyoteNgoja tukufatilie nawew, pengine wewe ndio mwongo
Wivu unakusumbua kwakuwa huna nyumba wala magari kama members wenzako wote wa JFGod is good all the time, All the time....(don moen).
Humu ndani kuna vijana wanatupiga za uso nyingi sana. Mpaka sasa nimeshawakariri members 21 (kwa Id zao), hawa watu ni waongo, ninaposema ni waongo ujue ni waongo kweli kweli (standard gauge). Ni kweli mnafurahisha na kuchangamsha lakini mnazidisha!
Kuna mtu anakuja na stori yake ya kujitungia tungia tu, halafu anavaa uhusika yeye mwenyewe, mwisho wa siku (tena siyo mwisho wa siku, kesho yake) utoana analeta mada nyingine ambayo ukilinganisha na ile ya kwanza, hazileta picha kabisaa!
Kama unajijua unakuja hapa kufurahisha (uongo) na huwezi kukumbuka ulisema/utasema nini kwenye nyuzi zako, basi tumia nafsi ya mtu mwingine ~yeye, ali, wao n.k, siyo "Mimi" nikawasha gari langu nikaondoka (mfano lakini) halafu mwisho wa siku unakuja hapa kulalamikia "ajira".
Kwani hilo gari ni la mkopo? Ok ngoja ninyamaze ili kuepuka shambulio na mkija kivingine, naanza kuwataja mmoja baada ya mwingne, si nawajua!
Nimetoa mfano wa gari tu lakini humu chai ni nyingi mno!Hivi mtu kuwa na gari ndiyo kuyapatia maisha,
ujinga, umasikini, na maradhi ndio adui wa maendeleoWivu unakusumbua kwakuwa huna nyumba wala magari kama members wenzako wote wa JF
Umaskini nilishauaga kabla wewe hujazaliwa... Maradhi yananiogopa maana yakinishika naenda India kuyasambaratisha.... Ujinga nilifuta nilipopata PhD yangu pale Oxford Universityujinga, umasikini, na maradhi ndio adui wa maendeleo
njoo hapa tukusaidie mawazo ufikie ndoto zako, sio kujifanya unaweza sana
kama unaamini PhD inafuta ujinga, basi wewe bado ni mjinga. ila hujijuwiUmaskini nilishauaga kabla wewe hujazaliwa... Maradhi yananiogopa maana yakinishika naenda India kuyasambaratisha.... Ujinga nilifuta nilipopata PhD yangu pale Oxford University
Peleka ujinga wako wa darasa la 7B mkajadiliane na wajinga wenzio. Sisi wajinga wenye PhD zetu ujinga wetu tunaujua wenyewekama unaamini PhD inafuta ujinga, basi wewe bado ni mjinga. ila hujijuwi