JF members Kwa Mashabiki Wa Yanga Na Wengineo

Kuna breaking news kutoka TFF za kuinyang'anya Yanga point 3 kwa kumchezesha mchezaji mwenye yellow card tatu. Mechi aliyocheza bado naitafuta, kwani kikao cha kamati ya rufaa bado kinaendelea. Bila shaka hii habari itakuwa nzuri kwa Azam
 
kama ni uongo haina faida kama ni kweli bonge la faida na litafanya maisha ya yeboyebo kuwa magumu sana...
 
Wazo zuri embu fanya mipango ikae sawa nitakuwepo kwenye shughuli hiyo.
 
Simba kapakatwa.

Yanga_2.jpg
 
Kuna breaking news kutoka TFF za kuinyang'anya Yanga point 3 kwa kumchezesha mchezaji mwenye yellow card tatu. Mechi aliyocheza bado naitafuta, kwani kikao cha kamati ya rufaa bado kinaendelea. Bila shaka hii habari itakuwa nzuri kwa Azam

Wachukue zote 6, tuna uhakika wa kushinda mechi zote zilizosalia viz. Ruvu JKT, Coastal Union na Simba SC. Wabongo kwa fitina bhana, aah! Ukiwazidi uwanjani wanakaa mezani kutafuta point. Tukutane SKP kama kawa!
 
Kuna breaking news kutoka TFF za kuinyang'anya Yanga point 3 kwa kumchezesha mchezaji mwenye yellow card tatu. Mechi aliyocheza bado naitafuta, kwani kikao cha kamati ya rufaa bado kinaendelea. Bila shaka hii habari itakuwa nzuri kwa Azam

hahaha mvua imevamia maulid mashekhe wanakula wima wima
 
Simbakapakatwa Pub
patakuwa poa sana hapo
hiyo pub iko maeneo gani? maana huwa naiskia sana pia natamani sana kufika,wengi naona wamependekeza sana hapo

Ni kilabu cha pombe za kienyeji kuna mbege, chibuku, mdafu ,na libeneke
 
Back
Top Bottom