talentbrain
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,187
- 760
Simaanisha, ukabila au ukanda na hata ubaguzi wowote.
Naomba wana Kigoma (dutigite) tunyooshe vidole vyetu hapa ktk kudumisha urafiki na kuonesha uwepo wetu.
Naipenda Tanzania, naipenda Kigoma. Love u all.
Thanx