JF member of 2012!

Mi naona fabinyo ni bora muwaweka katika kategoria mbalimbali katika majukwaa kuna watu wanakubalika katika jukwaa husika mfano jukwaa la wakubwa
 
Mi naona fabinyo ni bora muwaweka katika kategoria mbalimbali katika majukwaa kuna watu wanakubalika katika jukwaa husika mfano jukwaa la wakubwa

wazo hili limepokelewa na litafanyiwa kazi,tatizo kule watu wachache ndio tunaingiaga!!kwa hii kutoka jukwaa lolote inaruhusiwa mkuu
 
Ningeona lamsingi kama kuna mtu hapa angetoa thread kuwa yeye amekuwa Tanzanite member,gold member,premium member,silver member hata Invisible anaweza akawapa ofa ya miezi miwili bure lakini siyo hizi bra bra ila azisaidii kitu japo mnamchango mkubwa kwenye hii forum sikatai!

sawa,wazo safi hili
 
Kila m2 huwa anapenda kivyake huwezi amlia mwenzako, ndo maana wababa fulani hupenda wembamba akipewa mnene mzee hashuti vile vile wengine hupenda wanene ukimpa mwembamba misuri haishutuki. Sasa wewe nawe umekosa la kuandika? mwingine akiona issue fulani anaona haina mshiko wakati mwingine anaona inayo. Ningekuelewa ungesema ni issue gani iliyochangiwa na memba wengi hapo angalau inge elewa.
mbona wengi wameelewa?anzisha basi hiyo wewe kadogoo hamna shida!!
 
Wapendwa,asifiwe kristu!asalym aleukumu!..protokal zote zimezingatiwa
Basi pasipo kupoteza muda,nimepewa jukumu na invisible la kufanya zoezi tajwa hapo juu ili ikifika tarehe 31 tupate mdau mkali na aliyefanya vizuuuri zaidi (based on his/her posts) kwa mwaka huu unaoishia!kazi kwenu,kupendekeza mdau huyo kuanzia sasa. Asanteni,zawadi nono zitatolewa kwa wadau ishirini wakali.

wiyelele
 
he shud be mzabzab
 
Back
Top Bottom