JF member of 2012!

JF member of 2012!

Hiyo nichagueni tu mimi wakuu, si munakumbuka ma point yangu, nina point ya kufa mtu.
 
Mtambuzi huyu jamaa ana mafunzo ya maana sana na pia kila post yake huwa imetarget kuboresha kitu fulani kwenye jamii Kama unabisha jaribu kusearch neno mtambuzi alafu upitie ndo utaelewa nini anacho Mr Mtambuzi ila Kongosho ni mshehereshaji wa post japokuwa huyu jamaa ni kichwa sana ila ana matatizo ya uvivu wa kuandika na kutiririka hatimaye huishia kuandika Simple and short comments zenye vihoja tofauti na zamani.Mwingine ni dada yangu gfsonwin nae ni mwalimu makini sana Nakupenda sana dada yangu unanikoshaga na comment zako.
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa,asifiwe kristu!asalym aleukumu!..protokal zote zimezingatiwa
Basi pasipo kupoteza muda,nimepewa jukumu na invisible la kufanya zoezi tajwa hapo juu ili ikifika tarehe 31 tupate mdau mkali na aliyefanya vizuuuri zaidi (based on his/her posts) kwa mwaka huu unaoishia!kazi kwenu,kupendekeza mdau huyo kuanzia sasa. Asanteni,zawadi nono zitatolewa kwa wadau ishirini wakali.
Ningeona lamsingi kama kuna mtu hapa angetoa thread kuwa yeye amekuwa Tanzanite member,gold member,premium member,silver member hata Invisible anaweza akawapa ofa ya miezi miwili bure lakini siyo hizi bra bra ila azisaidii kitu japo mnamchango mkubwa kwenye hii forum sikatai!
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa,asifiwe kristu!asalym aleukumu!..protokal zote zimezingatiwa
Basi pasipo kupoteza muda,nimepewa jukumu na invisible la kufanya zoezi tajwa hapo juu ili ikifika tarehe 31 tupate mdau mkali na aliyefanya vizuuuri zaidi (based on his/her posts) kwa mwaka huu unaoishia!kazi kwenu,kupendekeza mdau huyo kuanzia sasa. Asanteni,zawadi nono zitatolewa kwa wadau ishirini wakali.
Ningeona lamsingi kama kuna mtu hapa angetoa thread kuwa yeye amekuwa Tanzanite member,gold member,premium member,silver member hata Invisible anaweza akawapa ofa ya miezi miwili bure lakini siyo hizi bra bra ila azisaidii kitu japo mnamchango mkubwa kwenye hii forum sikatai!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo nichagueni tu mimi wakuu, si munakumbuka ma point yangu, nina point ya kufa mtu.

mimi nitakuwa nainga huku kucheka tu wanaojipigia debe
wengine hata siku 1 sijawahi kusoma comment zao kama wewe
 
AshaDii kuna achilia mbali comment zake ile kitu ya interview ya mh Zitto kafunika na ile sticky ya mmu thread collection but still valid kafunika kinomaaa kiukweli hajawahi kuandika pumba
Mtambuzi huwa ananikosha na mafunzo ya malezi,mahusiao na ndoa na visa vyake vya kila ijumaa
ila hapa nahisi tunaandika bla bla bla tu
 
Last edited by a moderator:
Hapana nlimaanisha weka Kongosho asali ya ODM hapo

Heheheh chezeya Superman weye? Kasepa na mkwanja wangu bana. Wapambe zangu kina Kongosho hawajaambulia hata jero la maji ya kunywa.

Babu Asprin acha nongwa bana, mambo yote iko kwa @Maxence Mello. Iweje wewe tu?
Lizzy alipata AshaDii alipata The Boss alipata plus Gold Membership Nyani Ngabu alipata ingawa hataki kukubali. Kama hajapata kwa nini hachuki kwa Maxence au kama vipi atoe maelekezo wam-upgrade membership status.

Wengineo wote kama wapo ni hivyo hivyo mkwanja wao upo.

Safari hii tunasubiri tarehe 15 December ifike. Tunaunda tume kamili na wasindi wa nyuma wakiwepo kisha baada ya hapo king'ang'anyiro kinaanza.

Zawadi za safari hii zitaboreshwa zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Well if we choose the Winner based on CHIT-CHAT, its not very hard to pick One!
 
Wapendwa,asifiwe kristu!asalym aleukumu!..protokal zote zimezingatiwa
Basi pasipo kupoteza muda,nimepewa jukumu na invisible la kufanya zoezi tajwa hapo juu ili ikifika tarehe 31 tupate mdau mkali na aliyefanya vizuuuri zaidi (based on his/her posts) kwa mwaka huu unaoishia!kazi kwenu,kupendekeza mdau huyo kuanzia sasa. Asanteni,zawadi nono zitatolewa kwa wadau ishirini wakali.

Kila m2 huwa anapenda kivyake huwezi amlia mwenzako, ndo maana wababa fulani hupenda wembamba akipewa mnene mzee hashuti vile vile wengine hupenda wanene ukimpa mwembamba misuri haishutuki. Sasa wewe nawe umekosa la kuandika? mwingine akiona issue fulani anaona haina mshiko wakati mwingine anaona inayo. Ningekuelewa ungesema ni issue gani iliyochangiwa na memba wengi hapo angalau inge elewa.
 
Back
Top Bottom