JF member of 2012!

JF member of 2012!

fabinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
3,042
Reaction score
2,235
Wapendwa,asifiwe kristu!asalym aleukumu!..protokal zote zimezingatiwa
Basi pasipo kupoteza muda,nimepewa jukumu na invisible la kufanya zoezi tajwa hapo juu ili ikifika tarehe 31 tupate mdau mkali na aliyefanya vizuuuri zaidi (based on his/her posts) kwa mwaka huu unaoishia!kazi kwenu,kupendekeza mdau huyo kuanzia sasa. Asanteni,zawadi nono zitatolewa kwa wadau ishirini wakali.
 
unaongelea post au thread?
na tutaamini vipi umetumwa na Invisible, ikiwa kumention jina lake umeshindwa!!

halafu huyo mwana JF wa mwaka iweje aje kutafutwa huku MMU....???
 
Last edited by a moderator:
kongosho, ana mapoint hasa techno na siasa.
 
Thanks a lot for the comfidence!!!!!!! Ila lara 1 ni mrengo wa kushoto plus ana damu ya kunguni, akishinda hapa kutaibuka WORLD WAR 3!!!!!!!! Only few people share my vision n point of view when looking things!

The True NEO MARXIST!!!!!!!!! (Guys you should study philosophy, economic or atleast history in your spare time, wont hurt!)
 
unaongelea post au thread?
na tutaamini vipi umetumwa na Invisible, ikiwa kumention jina lake umeshindwa!!

halafu huyo mwana JF wa mwaka iweje aje kutafutwa huku MMU....???

Kati ya nyie 8 nani ameandika hii?
 
he he he, yaani mpiga debe wako mkuu kama yule wa ccm anayevaa bendera kila aendako.

Hapana nlimaanisha weka Kongosho asali ya ODM hapo

Heheheh chezeya Superman weye? Kasepa na mkwanja wangu bana. Wapambe zangu kina Kongosho hawajaambulia hata jero la maji ya kunywa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom