JF Mathematics clinic Special thread

Wakuu,kuna method moja niliwahi kuisoma huku zamaaaaaani!! Ilikuwa ikielekeza namna ya kupata namba ileile mara tatu kutokana na namba ya mwanzo kuikokotoa,I hope sijaeleweka!! Mfano ni hivi-30+137-48=303030!!(Hii siyo namba sahihi ila ni mfano tu)naamini yule mtaalamu bado yumo humu,au hata kumbukumbu ya post ile inaweza kuwepo humu,kwa aliyeelewa please tukumbushane,hesabu ni janga kubwa hapa.
 
So it will take 3 Min to empty tank if Pipe A,B and C open at the same time?
Ok let see !
Mkuu jibu la kwanza ni 3.333,kwa kuwa hiyo ni figure inayoweza ku solve time+capacity of 10÷3.mimi ni mbumbumbu #1 wa hesabu!!hivyo msinicheke please,maths is our natural calamity.
 
HahahahahHAaaaa,yaani Preta unamwambia mtu asiogope huku unamwogopesha,wengine wnaogopa kulea watoto humu,sasa ukimwambia kuwa x+y=mimba unawakimbiza humu.
 
Last edited by a moderator:
Ruttashobolwa

Soln: For Qn 5.

(9-0)=0
(9-1)=0+1
(9-3)=0+1+2

So the next number will be,
(9-6)=0+1+2+3.
 
Last edited by a moderator:

Hizo SIYO Hisabati bali ni Arithmetics (Hesabu rahisi) Hii ni ngazi ya chini sana kwa kweli nafikiri darasa la Tano ama Sita!
 
jibu la swali la pili 3+3=6 kwahiyo thamani ya y ni 6 kwasababu ukiwa na chale iii+ na chale iii zingine ukihesabu chale zote kwa ujumla unapata chale 6

Hahahahahahaha. Mambo yangu haya.
 
Mkuu jibu la kwanza ni 3.333,kwa kuwa hiyo ni figure inayoweza ku solve time+capacity of 10÷3.mimi ni mbumbumbu #1 wa hesabu!!hivyo msinicheke please,maths is our natural calamity.

Wrong perception.
 
Mkuu Zingatia maelezo ya thread..hatuna lengo la kushindana bali kujifunza si kila mtu ataona kama unavyo ona! Please solve swali hata moja
Hizo SIYO Hisabati bali ni Arithmetics (Hesabu rahisi) Hii ni ngazi ya chini sana kwa kweli nafikiri darasa la Tano ama Sita!
 
Wakuu Maswali namba 4 na 5 bado hayajaribiwa kabisa!
 
Are sure kuwa 0.5 ukiround off inakuwa 1? Aisee rudi hapa tuonane.

Mkuu mwalimu wangu alinifundisha kua nikiround off;

0,1,2,3,4 is approximately = 0

5,6,7,8,9 is approximately = 1

Vipi nami niliingizwa chaka? Hebu nitoe tongo tongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…