JF Mathematics clinic Special thread

JF Mathematics clinic Special thread

Wakuu,kuna method moja niliwahi kuisoma huku zamaaaaaani!! Ilikuwa ikielekeza namna ya kupata namba ileile mara tatu kutokana na namba ya mwanzo kuikokotoa,I hope sijaeleweka!! Mfano ni hivi-30+137-48=303030!!(Hii siyo namba sahihi ila ni mfano tu)naamini yule mtaalamu bado yumo humu,au hata kumbukumbu ya post ile inaweza kuwepo humu,kwa aliyeelewa please tukumbushane,hesabu ni janga kubwa hapa.
 
So it will take 3 Min to empty tank if Pipe A,B and C open at the same time?
Ok let see !
Mkuu jibu la kwanza ni 3.333,kwa kuwa hiyo ni figure inayoweza ku solve time+capacity of 10÷3.mimi ni mbumbumbu #1 wa hesabu!!hivyo msinicheke please,maths is our natural calamity.
 
Wewe usiogope.......sio lazima utafute Y........unaweza ukanikopesha laki.......ukasema nikurudishie na RIBA kiasi Fulani.......baada ya mwezi......ikipitiliza......RIBA inaongezeka.........sasa ni hesabu gani hapo hujui.........?........sio lazima X na Y........hizo unaweza kutafutia watoto.........
HahahahahHAaaaa,yaani Preta unamwambia mtu asiogope huku unamwogopesha,wengine wnaogopa kulea watoto humu,sasa ukimwambia kuwa x+y=mimba unawakimbiza humu.
 
Last edited by a moderator:
Ruttashobolwa

Soln: For Qn 5.

(9-0)=0
(9-1)=0+1
(9-3)=0+1+2

So the next number will be,
(9-6)=0+1+2+3.
 
Last edited by a moderator:
Wasalaam wana jf!
Sote tunajua hesabu umekuwa ugonjwa wa taifa kama si ugonjwa wa dunia!Hili limekuwa tatizo kubwa kwa kuwa hakuna misingi ya kuwa fanya watu wapende somo hili na hata hivyo ni wachache wanao jishughulisha kufanya hesabu kama mazoezi hata kwa kufanya hesabu rahisi!

Jf mathematic clinic special thread nimeaianzisha makusudi hili watu waitumie kukumbushana,kufunzana,kuelezana,kuelekezana jinsi ya kufanya maswali mbali mbali ya hesabu.

Sote tunajua fika hesabu huchangamsha ubongo na hesabu ni afya!Hivyo hapa itakuwa sehemu ambapo watu watakuwa wanaweka maswali na kupata majibu kutoka kwa wanaoweza kuyapatia suluhu au majibu!

NB:Hii si thread ya mashindano bali itumike kama sehemu ya watu kujifunza na kujaribu kila mtu atakuwa huru kuuliza maswali kuhusu hesabu na kila mtu atakuwa huru kufanya swali husika pia kukokosa penye makosa!

Naomba kwenye thread hii tusi chit-chat.na kama tuki chit chat basi maongezi yata husu hesabu..lakini ingependeza hesabu!

Kwa kuanzia hili kuweka mzizi wa thread hii nitaweka maswali matano rahisi ambayo yeyote ataruhusiwa kuya solve na mtindo utakuwa ni kusolve maswali yanayo letwa na kuweka maswali ya kusolve pia kuhoji kuhusu majibu yanayo tolewa..
Pia ni vyema mkazingatia kuonesha njia zaidi ambayo imetumika kupata jibu ili kila mtu aweze kuelewa!
QESTIONS
Qn .1) Three pipe A,B and C.it takes pipe A and B 10 Minutes to fill tank and it takes pipe C 10Min to empty it. How many min will takes A,B and C to empty it if all pipes are open at the same time?

Qn.2) 3+3=Y tafuta Y

Qn.3) rahisisha (9-0)(9-1)(9-3)(9-4)______(9-n)

Qn.4)Tafuta namba inayo kosekana
5,_,1205,_271205,_

Qn.5) (9-0)(9-1)(9-3)..........

Hizo SIYO Hisabati bali ni Arithmetics (Hesabu rahisi) Hii ni ngazi ya chini sana kwa kweli nafikiri darasa la Tano ama Sita!
 
Mkuu jibu la kwanza ni 3.333,kwa kuwa hiyo ni figure inayoweza ku solve time+capacity of 10÷3.mimi ni mbumbumbu #1 wa hesabu!!hivyo msinicheke please,maths is our natural calamity.

Wrong perception.
 
Mkuu Zingatia maelezo ya thread..hatuna lengo la kushindana bali kujifunza si kila mtu ataona kama unavyo ona! Please solve swali hata moja
Hizo SIYO Hisabati bali ni Arithmetics (Hesabu rahisi) Hii ni ngazi ya chini sana kwa kweli nafikiri darasa la Tano ama Sita!
 
Wakuu Maswali namba 4 na 5 bado hayajaribiwa kabisa!
 
Are sure kuwa 0.5 ukiround off inakuwa 1? Aisee rudi hapa tuonane.

Mkuu mwalimu wangu alinifundisha kua nikiround off;

0,1,2,3,4 is approximately = 0

5,6,7,8,9 is approximately = 1

Vipi nami niliingizwa chaka? Hebu nitoe tongo tongo.
 
Back
Top Bottom