JF Ladies....Arusha Wing...DINNER....

Status
Not open for further replies.
hahahahahaha...chabo taaamu Madame B We acha tu. Hujawah kumchungulia mtu wewe? Jaribu sku moja utanambia
 
Last edited by a moderator:
Bahati nzuri hili si jukwaa letu la Politics ,ningemwita Lissu atoe ufafanuzi y umetaja jina la Preta mara nne kwenye bandiko lako.

Ila nimefurahishwa na ufafanuzi wako.
 
Last edited by a moderator:
mkichagua dec mchague tarehe zile zenyewe ili hata sisi tunaotegemea likizo za wakoloni tuwepo.
count me in kwenye mtakachoamua.
 
Hahahahahaha wale wavaa ninja mie mmoja wapo ntakuepo lol....


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Karibu sana.......waalike na wenzio......mtoko ndio huu.......
 
Sasa mbona mnatutenga siye wa darisalamu mtatufanya tupande mibasi tukuje huko! Loh!

Wote mnakaribishwa.........kama umenisoma vizuri.......nimeelezea kuwa.......na mikoa jirani mnakaribishwa..........
 
Tunajiandikisha wapi? lol

Unaweza kukubali hapa.......au nitumie PM...... then tukishakubaliana........nitawatumia taarifa yote ya mchakato ulivyoamuliwa.........
 
hichi kitu nilikuwa nakitafuta muda mrefu
afadhali bestito nawe umeona hilo ila
siye wengine tuko mikoani sijui itakuwaje?
ila tutatoa ushauri na maoni yetu pindi ikifikia

Muda muafaka wa ushauri ni sasa........jimwage uwanjani.......
 
Last edited by a moderator:
mkichagua dec mchague tarehe zile zenyewe ili hata sisi tunaotegemea likizo za wakoloni tuwepo.
count me in kwenye mtakachoamua.

Karibu sana.......tutahakikisha kila mmoja atapata nafasi.......ila maoni yako pia ni muhimu ujue......
 
Ni jambo jema sana best kwani tukiinuana sisi wanawake tutalijenga taifa letu
hivyo basi ni vyema ulivyosema jambo hili nitatoa mchango wangu kwa kukupm usijali best
muda muafaka wa ushauri ni sasa........jimwage uwanjani.......
 
Mungu anisaidie niwe na punzi kwa wakati huo.

Good idea sana.
 

Mpaka mwanzishaji wa mada ( Preta ) anipe mwongozo wa mada zitakazojadiliwa na wananchi wa jf chini ya mweyeiki Baba V na rais Arushaone wakubaliane kwa mkataba na kwamba hayatasemwa mengine ndipo nimruhusu mke wangu ahudhurie vinginevo nitakuwa siitendei haki nafsi yangu.
 
Last edited by a moderator:
Bahati nzuri hili si jukwaa letu la Politics ,ningemwita Lissu atoe ufafanuzi y umetaja jina la Preta mara nne kwenye bandiko lako.

Ila nimefurahishwa na ufafanuzi wako.

Umenifurahisha sana, kama kule kwenye siasa anavyovyofanya rais wenu wa inji hiii kumtaja mtu mara kadhaa hususan mara 4 kwenye hotuba za kila mwanzo wa mwezi
 

Mkuu mimi kama ........, ambaye dereva wangu unamfahamu vizuri..... (Nyumbani hotel), naungana moja kwa moja na hoja yako pamoja na mawazo ya Preta kuwa kuna umuhimu wa wao kukutana bila kuingiliwa katika kikao chao, na pengine wanaweza kutuletea changamaoto mbalimbali kwetu sisi male na ikawa ndio kikao cha kwanza kitakacholeta tofauti katika mawazo ya wengi duniani! Preta akawa mwanzilishi wa hii kitu hapa duniani! kila la kheri wajameni!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…