jf kwenye simu vp tena

mimi nina mwezi siipati kabisa kwenye miniopera ila website zingike like facebook na magazeti yanafunguka fresh tu
 
same here mkuu 1wik opera mini aifungui lakini nyingine zipo bomba kwenye opera.nipo nokia
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom