Lara 1 ww ni kubwa la maadui ndo maana huoni tabu. Kuna watu wanaogopa kushushuliwa km wanavoogopa njaa we acha tu. Bora hatutumii majina halisi na hamna ulazima wa kuweka picha, mbona watu wangeomboleza humu
Dah yaani mkuu nilitafuta sehemu ya kufuta sredi sikuiona aiseeee...ikabidi niipotezee ile sredi sijawahi kuifungua wala kuichungulia tena mpaka leo.....