Akikasirika ndio utaona anavyotukana kwa kiinglysh.
Mtu akinitukana kwa makolokocho ambayo siyaelewi wala huwa siumii.
Ila yale matusi ya darasa la pili B kichwa kama boga huwa yananiuma sana.
Akikasirika ndio utaona anavyotukana kwa kiinglysh.<br />
Mtu akinitukana kwa makolokocho ambayo siyaelewi wala huwa siumii.<br />
Ila yale matusi ya darasa la pili B kichwa kama boga huwa yananiuma sana.