Yes,kwenye hii hakuna ubishi.Mkuu, andaa kabisa mlenda vuguvugu, utamwaga hadi ubongo 😋
Kama huendani nayo usiiangalie, usijitie majaribuni 😅Yes,kwenye hii hakuna ubishi.
Ingawa sidhani kama ninaweza kuendana na ulicho kiandika mkuu🤔.
Noma sana mkuu 😂
Pamoja sana mkuu🙏Noma sana mkuu 😂
🤝Pamoja sana mkuu🙏
Inasikitisha sana mkuu 😎Yote ya yote secretarybird hongera kwa kurudi mkuu.
Samahani ni mimi na Mbaga Jr tulikuwa tunajadili mengi ingawa upungufu wako kwenye jikwaa pia ulizungumziwa(hii ID.)
Mkuu nipo season 1 na sijui ndio ipo hiyohiyo ya spatercus ingawa ninatarajia kuimaliza.
Ok naelekea kwenye mada sasa.
Yote ya yote ila hata yule mdada secretarybird ujue ni mzuri sana.
Humu ni kina SANGASI watupu jukwaa gumu kama hili ukutane na mtoto cury kweli??? Never...Wanajitambua ,
Wako na akili,
Wanasura nzuri,
Wananiheshimu,
Wanamaumbile mazuri (shape za kuvutia)
KAMA SIO BIKRA NA HAWAKUWAHI KUOLEWA HAYO ULOTAJA NI KAZI BUREWanajitambua ,
Wako na akili,
Wanasura nzuri,
Wananiheshimu,
Wanamaumbile mazuri (shape za kuvutia)
Kwamba amfate Dm amjibuKwani kuna aliyekuuliza bro?!