JF known error

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Kuna error ambayo imetokea kwa mara kadhaa wiki iliyopita mpaka leo. Tumeliona hilo na tumechukua hatua madhubuti kurekebisha tatizo hilo.

Tume-restart server na sasa kila kitu kitakuwa sawa.

Kumradhi kwa kutowaarifu na tunashukuru kwa ushirikiano.

Invisible
For JF Administration
 
Haya ahsante mkuu

Join Date: Thu Nov 2006
Posts: 2,837
Rep Power: 28
Shy has much to be proud of
Thanks: 3
Thanked 816 Times in 521 Posts
Credits: 75,983

Mkuu kuna icon ya thanks, nadhani umesahau ni siku nyingi, lol.
 
Bora Invisible umetutaarifu, mimi nimekuwa kuna nyakati napata tatizo la kuingia ukumbini, hata leo lilinipata, nilikuwa nahisi ni tatizo la mtandao nitumiao.
 
Mimi sasa hivi nimekumbana nalo ,lakini kwa ufupi najua namna ya kupambana na mauzauza ya mtandanaoni.Maana kile nilichokiandika kwa madakika kadhaa unakuta saa ingine kinayeyukia duniani wala hukielewi kimekwenda wapi ,ndio hapo kuna ukurasa unajileta na kukwambia JF server error.
 
nashindwa ku upload a new thread :-(
Nadhani si sasa hivi... Tumefanya optimization ya kueleweka sidhani kama error hiyo ipo bado.

Aidha, loading ya forums nadhani kwa sasa itakuwa njema zaidi.

Poleni kwa usumbufu, nawashukuru wote waliotuarifu juu ya hili.
 
Kuna error ambayo imetokea kwa mara kadhaa wiki iliyopita mpaka leo. Tumeliona hilo na tumechukua hatua madhubuti kurekebisha tatizo hilo.

Tume-restart server na sasa kila kitu kitakuwa sawa.

Kumradhi kwa kutowaarifu na tunashukuru kwa ushirikiano.

Invisible
For JF Administration

Asante kwa taarifa mkulu.
 
Originally Posted by Shy
Haya ahsante mkuu

Join Date: Thu Nov 2006
Posts: 2,837
Rep Power: 28
Shy has much to be proud of
Thanks: 3
Thanked 816 Times in 521 Posts
Credits: 75,983

Mkuu kuna icon ya thanks, nadhani umesahau ni siku nyingi, lol.

Labda kila post iliyowekwa humu haimvutii, isipokuwa hizo tatu !!
 
Join Date: Thu Nov 2006
Posts: 2,837
Rep Power: 28
Shy has much to be proud of
Thanks: 3
Thanked 816 Times in 521 Posts
Credits: 75,983

Mkuu kuna icon ya thanks, nadhani umesahau ni siku nyingi, lol.

Yeye hiyo icon naona hana mpango nayo au haoni umuhimu wake.
Tunashukuru mkuu Invisible kwa kutatua tatizo la kiufundi.
 
Loh! Halafu tena computer ikanambia imedictate kirusi na hivyo kuzuia file. Kidogo nichanganikiwe nikifikiri kombora nililolenga limeback fire. Ndio safari Mkuu lakini JF imeshakuwa ulevi kwa baadhi yetu, kuikosa nnnh!
 
Back
Top Bottom