Walisema wanataka kuboresha, mie naona ongezeko la matangazo ya biashara lakini mambo mengine yamekuwa ovyo kuliko. Hebu tuelezeni mmeboresha nini ili tuelewe na kutoa maoni yetu. Kwa mfano mie nashindwa kabisa ku reply with Quote -inanigomea yaani haikonekti.