1995_No_Ku_Fake
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 1,429
- 3,090
Tumia au boresha mbinu ulizotumia mwanzo kujijenga upya tenaaanzie wapi kujijenga upya?
Kabisa. Kupata ni hatua moja, lakini kuwa na nidhamu ya kukilinda na hekima ya kukizidisha ndiyo changamoto halisi. Maisha yamenifundisha hilo kwa njia ngumu.
Rudia kusoma comment yangu tenaKabisa. Kupata ni hatua moja, lakini kuwa na nidhamu ya kukilinda na hekima ya kukizidisha ndiyo changamoto halisi. Maisha yamenifundisha hilo kwa njia ngumu.
Sirudii.. nimekuelewaRudia kusoma comment tena
Acha ukaidi dogoSirudii..
Ukaidi...🙏Acha ukaidi dogo
Shida ya Tanzania ya Leo hata anasyejionyesha ni mwenye kuhitaji Masada ni chawa mtekaji anayevizia wakuteka,ama kupoteza kabisa,hivyo usimlaumu yeyote haumu jaliu mazingira na nyakati na tambua wanaoshahili lawama za kweli na haki🤔Sijapata Msaada JF, Ila Kimaisha Nimepata Somo Kubwa
Kwa muda nimekuwa nikieleza changamoto zangu hapa JF, nikitarajia labda kuna mtu atanisaidia kwa namna yoyote. Ukweli ni kwamba, msaada wa moja kwa moja sijaupata.
Lakini sitaki kusema JF haijanisaidia.
Nimejifunza kitu kikubwa: maisha hayana deni la kutuokoa kwa sababu tu tuna shida. Watu wanaweza kusoma unachopitia, kukushauri, kukukosoa au hata kukupuuza—lakini mwisho wa siku, bado unatakiwa kusimama na kutafuta njia yako.
Kuna maneno nimeambiwa hapa yameniumiza, mengine yamenijenga, na mengine yamenifanya nijitazame upya.
Kwa hiyo leo siombi pesa.
Najiuliza tu:
Mtu akifika mahali ambapo hana mtaji, hana ajira, ana majukumu na watu wanamwona kama mzigo—aanzie wapi kujijenga upya?
Sitaki huruma. Nataka mawazo, uzoefu na njia halisi za kuanza tena.
Akienda wilaya za wafugaji anatoboa kabisa. Kuna vijiji nimepita havina hata bwana mifugo lakini Wana mifugo weng sanaWewe ni mtaalamu wa mifugo lakini unazingua...ntakununulia syringe and need plus important drugs..ant worms,wire wa kukuta pembe, antibiotics, antibacterial then utafute Chimbo upige kazi ndogo ndogo je uko Tayari?
View attachment 3678360