Nimekutana na tatizo kwenye JAMII FORUMS kwenye Tapatalk.
Kuanzia tarehe 17/05/2015. Notifications haziji kabisa. Sijui kama kuna mtu aliyewahi kukutana na hili. PUSH NOTIFICATIONS zinakuja lakini nikiingia kwenye FORUMS--> JAMII FORUMS-->NOTIFICATIONS basi hapo hakuna notification za zaidi,ya tarehe 17/may. Hata kwa zile Thread ambazo nimeSubscribe.
MSAADA PLEASE
Angalia hapa, nofltification ya mwisho ni tarehe 17.. Hata nikiRefresh
Hili tatizo hata mimi nimelipata tokea juzi na nilishawataarifu mods ila mpaka sasa naona kimya.
Hili tatizo linakera sana kiukweli. InvisibleModerator