Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,028
- 168,649
kwa kweeli full shangwe......Nyumba ilipendeza sana.......Nimefurahi kumuona amu na Paloma ....Wengine ni Vin Diesel Kaka Kiiza Bujibuji @lara1 figganigga charminglady Jiwe Linaloishi watu8 Jesca Babu Asprin Madame B Mtambuzi Zion Daughter manoah na founders wa JF.......
Hujaniona mimi tu.
kwa kuwa tulikuwa wote ndo maana hajaweza kutuona. Leo ni kukesha tu.Na mimi.......
Na mimi.......
kwa kweeli full shangwe......Nyumba ilipendeza sana.......Nimefurahi kumuona amu na Paloma ....Wengine ni Vin Diesel Kaka Kiiza Bujibuji @lara1 figganigga charminglady Jiwe Linaloishi watu8 Jesca Babu Asprin Madame B Mtambuzi Zion Daughter manoah na founders wa JF.......
Hivi wewe ndio yule mdada alikua kajibanza kona ya juu???
kwa kweeli full shangwe......Nyumba ilipendeza sana.......Nimefurahi kumuona amu na Paloma ....Wengine ni Vin Diesel Kaka Kiiza Bujibuji @lara1 figganigga charminglady Jiwe Linaloishi watu8 Jesca Babu Asprin Madame B Mtambuzi Zion Daughter manoah na founders wa JF.......
chezeya kujumuika na JF Founders...hapa nishajihakikishia kutopigwa BAN mwaka mzima.
Nami nilifurahi kuwaona wote. Hangover mmeitibuje jamani? Nna hali mbaya hapa sifai!
No....mimi ni yule aliyekuwa amevalia kanyela mumo ya white.........nilikua na yule kaka kajaziajazia hivi.........