Jf inazingua in my phone...!!!

Jf inazingua in my phone...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Habari wakuu,
I short kuna tatizo naliexperince kwa sasa kwenye jf app ya android OS ambalo linanikosesha raha kabisa. Yaan nikienda kwenye kipengele cha notifications naoneshwa ambazo ni za tangu tarehe 14feb wakati nkiingia kwa browser kama uc nakuta kumbe kuna latest updates zimenipita. Nashindwa kuelewa tatizo nin? Nimefanya ku uninstall na kudownload upya still same thing. Naomba msaada wakuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom