How to use my JF App kwa Android phone

How to use my JF App kwa Android phone

Binti1

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
668
Reaction score
1,766
Hi

Naomba kuelekezwa jinsi ya kutumia app ya JF kwenye simu ya android HTC. Sina uhakika kama version niliyonayo ni latest ila tatizo kubwa Nashindwa ku comment/kuchangia mada.

Yaani baada ya kufungua thread na kusoma nikitafuta sehemu inayoelekeza ku comment siioni . Sielewi kama ni sijazoea hii simu/app ama kama kuna version mpya niambiwe nii download.

Asanteni
 
We 2 umeshindwa ji register jf and then utawex Ku coment
 
Ikisha funguka log in na password yako ndio utapata option hizo
 
Asanteni i did just that.Nilijisahau nkajua labda simu inazingua au app. Asanteni sana.
 
Back
Top Bottom