Dena umesema kitu ambacho kilikua ndani ya moyo wangu!! so nimefurahi kwa kuwa kumbe JF ni kiboko ya BP, kisukari, na kila aina za misongo ya mawazo!!
halafu kufundisha saa ngapi mkuu?????????ww kila siku ? Ss wengine ni kama kitandani . Twalala na kumkia humu humu
sizinga mbavu zako sitaki je kama moja ina creak!!
Maana kila nikiingia naishia kucheka tuu kwa jinsi member wanavyochangia na kujibiana ktk topic. Kiasi kwamba nashindwa kutoa mchango. Lkn haipiti Siku bila kuingia humu.
Haya ndio mambo yanayonipa raha
Maana kila nikiingia naishia kucheka tuu kwa jinsi member wanavyochangia na kujibiana ktk topic. Kiasi kwamba nashindwa kutoa mchango. Lkn haipiti Siku bila kuingia humu.
JF ingekuwa safi zaidi kungepatikana watu wenye akili na busara na wanaoona mbali kama mimi hata 4 hivi.. toka wampoteze malaria sugu jf inakufa

ha hahaaaaaaa Dena mbavu zangu bana lol uwiiiiiiiiiiiiiiiiii!!
Mambo Dena? Naona Susy ndo anaamka full matongotongo!Si JF sema kabisa MMU huku ni stress free raha tupu unacheka na keyboard na kuitana my love na watu huwajui basi raha tupu
Full kujiachia hapa no BP no Kisukari kwa raha zetu