Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,555
- 17,947
Wakuu heshima kwenu
Ni kwa muda sasa nimekua mwanachama wa huu "mtandao" pendwa JF.Kilichonifanya nije mbele yenu wadau ni huu uraibu "addiction" ambao nimeutengeneza kutokana na hii JF.
Imefika hatua ni ugomvi na wife eti sina muda nae niko busy na simu muda wote.Kuna siku alivunja simu yangu baada ya kuona niko busy na simu anaongea simsikilizi.
Sio siri wadau haipiti siku bila kuchungulia majukwaa mbali mbali either kama mgeni au member kamili.Nimezoea JF kama sehemu pekee ya kupata vitu vipya hata TV sina time nayo.
Nadhani wadau tunaweza kushauriana angalau huu uraibu upungue,ndoa naipenda jamani.