JF imenifanya niporwe simu!

Ajali humkuta ata mwenye tahadhari!tafakari!pole sana ndugu nyanidume!
Ahsante sana mkuu Kukamido, wengi humu hupenda kuponda tu, pengine wao yaliwakuta au yatawakuta [siombei] mengine makubwa kuliko hili la kuporwa!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha! Mburula kweli wewe.
Ulipaki gari barabarani na unasema ulikuwa kwenye daladala. Ama wewe profeshenale nindereva wa ma3?
CC @watu8
Mwee! sasa mm na ww mburula nani? wapi niliposema nilikuwa kwenye dala2?
 
huyu katunga stori si.umeona alivyojichanganya

Kumbe MAPOYOYO mko wengi humu JF mi nilidhani yupo yule demu mmoja tu anayejiita King'asti!, kumbe hata ww? soma thread vizuri acha kudandia gari kwa mbele, UTAUMIA!
 
Last edited by a moderator:
ha ha...
hii inaitwa 'first impression effect'..sidhani kama kuna sehemu jamaa ametaja kuwa alikuwa kwenye dala2..i
Hahahahah! mi namshaur akaonane na daktar wa macho, huenda akapata usaidizi!
 
Dah... Huyu mwizi mtaalamu sana! Yaan kapost uzi wako kabla hujaisha????? :doh: :doh:

Hapana hii ni simu ya mai waif, labda anipore yeye maana hukerwa sana ninapotumia muda mwingi nikibofya bofya!
 
Ujue ulikua unaenda Machi Machi Guest House......hahahaaaaa pole Mpwa I can feel the pain

Hahahahah! hapana Mpwa wangu Elli, nilikuwa na mambo mengine tu, ahsante sana kwa kushirikiana nami maumivu!
 
Last edited by a moderator:
Dah pole nyanidume kumbe tupo wengi tulio lewa na JF nyie wamjini ndio hivyo vibaka sisi wa vijijini nandhani siku tuta gongwa na baiskari

Hahahahah! unifurahisha mkuu, hapo cha kufanya ni kuchukua tahadhari tu!
 
Matusi mengi hata habari yenyewe hujaisoma vizuri acheni kukariri!ukiskia mtu anatoka temeke kwenda town unajua ni daladala tu!dalili za dharau.tafakari chukua hatua!
Ahsante mkuu kwa kuliona hilo!
 
:cell:hadithi hii inatundisha nini mkuu!!, unaweza kuwa mtunzi mzuri wa stori za udaku

Eti eenh, kwa hiyo nikienda kwa Shigongo sikosi kazi, hakika magazeti pendwa yamekulemaza!
 
Mkuu ni wapi amesema alikua kwenye daladala?,tatizo lako umesikia jamaa anamiliki kamchina basi hapohapo ukaona huyu level zake ni daladala tuu so atakuwa kwenye daladala..

Ana dharau sana huyu demu!
 
Pole Mkuu.....kama ukileta risiti ya aliyekuibia basi JF itawajibika maana ulikuwa katika anga zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…