JF imempeleka Kawambwa UDOM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF imempeleka Kawambwa UDOM?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mahuwi, Oct 18, 2011.

 1. m

  mahuwi Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana ama juzi kulikuwa na mjadala hapa jf kuhusu yanayojiri UDOM wakati huu ama ambayo yalishatokea.

  Nikiwa mjini Dodoma kawambwa (waziri wa Elimu) alipita nakuelekea UDOM mchana wa saa nane nakukutana na uongozi.

  Nikajiuliza sana juu ya kilichomleta wakati huu ni kipi?

  1. Je ni huu upendeleo wa ajira kwa waislamu ambao kimsingi inaonekana na hata waislamu walishatoa vcd yao ya Kongamano la pasaka iliyofanyika college of education nakuhusisha wanafunzi na baadhi ya wahadhiri wakiislamu waliopo hapa UDOM. Katika kile kinachoendelea hapo ni kuwa kwa ukweli wao wanadai UDOM imeanzishwa makusudi kukuza uislamu kwakuwa UDSM imetawaliwa na wakristo na imechangia sana kukuza ukristu tanzania. Wafanyakazi wengi hasa administrative staff wamekuwa wakiajiriwa karibu kila siku na hasa akina abdallah, alli, omari, ramadhani, amina, yusuph na wengineo.

  Na kabisa wanaweza kuwa wanatamani wakristo wote walioajiriwa hapo wafukuzwe kazi wote abaki wao kama ambavyo walijaribu kupitia uchaguzi wa serikali ya wanachuo kuweka wagombea wote wenye nguvu kuwa waislamu na kuweka weak christian waweze kukimiliki chuo kwakuwa misingi wameshajengewa.?

  2. Je huu mtindo wakusajilia wanachuo uwanja wa jamhuri wakati majengo ya chuo yapo?

  3. Na je ni maslahi ya wahadhiri wa chuo hicho?

  Nawasilisha
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Sasa kama umeshasema kuwa JF imempeleka Kawambwa Udom maswali yote haya ya nini?
   
 3. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Unawasilisha hisia zako za udini sio!
   
 4. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 3,337
  Trophy Points: 280
  Hakuna waziri hapo.
   
 5. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana mkuu kwa taarifa kuhusu Kawambwa kwenda UDOM, nilikuwa sijajua. Bahati mbaya unaonekana hujui aliyojadili na uongozi. Udini wa UDOM unatisha. Lkn watashindwa kwa sababu waislamu waliosoma ni wachache ingawa wanapeana vyeo kwa msingi huo. Mwislamu anapewa majukumu makubwa hata kama hana uwezo nayo. Hii inachangia sana kuyumba kwa uongozi wa UDOM, kama ambavyo uongozi wa nchi unavyoyumba kwa kupeana vyeo kishikaji na udini.

  Kwa kweli haieleweki kwa nini registration ilifanyikia Jamhuri. Hakuna sababu ya msingi sana. Sijui kwa nini UDOMASA walilikubali hili!! Ilikuwa usumbufu mkubwa sana kwa walimu na wanafunzi.

  Bahati mbaya inaelekea UDOMASA imedhoofu, siyo kama wakati ule wa kuendesha mgomo uliozaa kuboreka kwa UDOM. yule makamu rais wa UDOMASA nasikia kafukuzwa kazi kwa sababu zisizo na msingi.

  Naomba utujuze mengi zaidi, hasa kuhusu ujio wa Kawambwa
   
 6. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Umetawaliwa na hisia za kidini,
   
 7. J

  JabuJuma Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maswar hayo bado hayana maana uko UDOM ameletwa JF bac ss
   
 8. T

  Tanganyika jeki JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 12, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mjadala wa udini udom ni kwa manufaa ya nani? Nini idadi/uwiano wa Waislam na wakristo: wahadhiri, wanafunzi, wafanyakazi wasio walimu, viongozi? Wakristo mfanyakazi/mwanafunzi anaathirika vipi kwa wingi au kuongozwa na muislamu?
   
 9. mooduke

  mooduke JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Jamani hebu tuache haya mambo ya udini yatatumaliza kunashida gani waislamu wengi kuajiriwa UDOM ? kwani hawana vigezo? halafu haya mambo ya dini ni ya kijinga sana tunatumiwa kujiangamiza kwa interest za wengine bila kujijua kwa maslahi ya wengine wakidai ni matakwa ya mungu au dini mimi ninavyo amini mtu ataenda mbinguni kwa kufanya mambo mema na sio kuwa muislam au mkristo najua hamtanielewa lakini mimi hiyo ni imani yangu. Sisi Waafrika kabla ya kuja wakoloni au kabla ya ujio wa wageni maisha yetu yalikuwa mazuri sana na history inatujuza hivyo, kuja kwa Waarabu kulileta Uislam na ukoloni na kuja kwa Wazungu kulileta Ukristo na ukoloni lengo kuu la ujio wa wageni ni kuja kutunyonya na DINI ilikuwa ni mechanism ya kutulainisha kuwasaidia kutunyonya kwa kutulisha SUMU YA IMANI na tamaduni zao kama mungu alituumba vile vile alitutengenezea taratibu za kuishi sio tuishi kizungu au kiarabu ndio mungu atukubali hii kwangu si kweli.
   
 10. m

  mahuwi Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilitaraji ungeshauri practice za watawala waache hii tabia yakutukuza dini zao na kuwaona wengine kama si kitu. washauri hao wanaotenda haya waache sie ni watanzania hakuna dini iliyojuu ya nyingine na hii mizengwe ya ajira kwa kutumia majina waiache hata kama wanatumwa wajulize manufaa yake ni yapi?
   
 11. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Umetawaliwa na fikra za kidini. Mpuuzi mkubwa wewe!
   
 12. m

  mahuwi Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kUNA KITU KUPITIA YANAYOTOKEA HAPO UNANUFAIKA NAYO
   
 13. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Hivi huyu waziri hasa huwa anafanya nini pale?
   
 14. u

  ugawafisi Senior Member

  #14
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu hapo umenena, takwimu zinaonyesha mwaka jana wanafunzi elfu 20 waislam ni elf 3, kwenye staff 10 waislam ni 3, udini utatumaliza wandugu.
   
 15. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Una uhakika na usemacho? Source???
   
 16. k

  kapongoliso JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,136
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Suala la UDINI UDOM lipo tena kwa kiwango cha kutisha. Kuna tume imeundwa na uongozi wa chuo kuchunguza suala hilo, kuona sababu, nani wahusika na hatua za kuchukuliwa. Kongamano lililfanyika CoED mwanzoni mwanzoni mwa mwako likihusisha waislam wanachuo, wafanyakazi, wahadhiri, na viongozi waislam wa mkoa, limechochea sana suala hilo. So, lazima tujadilili kabla halijaleta athari mbaya zaidi ya kijana mkristu kujeruhiwa
   
 17. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,346
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Mzee jaribu kumuheshimu mtoa maada anachosema ni kweli kabisa kwa sababu kuna CD ya kongamano la waislam lililokuja kwa kichwa cha habari "MUSTAKABALI WA UISLAM NA UONGOZI" ki ukweli ukiangalia waweza laani na kuona waislamu wapo kichuki mda wote.Nikiipata nita attach kipisi uone au kama kuna mtu anayo plz upload.
   
 18. Dunda kwetu

  Dunda kwetu JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama hapa udsm kuna wakristo basi udom kukiwa na waislam shida iko wapi
  alafu majina sio kigezo cha kuonyesha wewe ni muislam
  achana fikra za udini.tujenge nchi​
   
 19. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,346
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Vp kuhusiana na hiyo video na wewe kwa akili zako kabisa unaafiki kuwa UDSM pawe pa wakristo na UDOM pa waislamu.Acha kudhalilisha wa UDSM wenzako.
   
 20. g

  gambagumu JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 700
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  udini huu mbona unaanza kushamiri au ndo mfumo islam
   
Loading...