JF imeingiliwa na Chawa

Tulifuta ujinga tukiwa na chuo kikuu kimoja, lakini hivi sasa tuna vyuo vikuu zaidi ya 50 lakini tuna wajinga wengi.
 
Mwacheni leo kisukari kimepanda
Huyu jamaa juzi kwenye uzi wake aliyojifanya ana mjibu Polepole nilimtoa knock out kwenye comments zake. Yule jamaa kapitia makuzi ya kikatili sana na ndio maana mpaka sasa ana praise mtu ambaye hana hata impact kwenye maisha yake
 
Write your reply...mtoa uzi ni shoga anajulikana jina lake halisi ni harith anaishi bagamoyo
Usitafute Wafuasi mzee,kama wewe ni mchicha mwiba a.k.a Sigara kali nyuma kuko wazi mbele kuko wazi usitamani kila mtu ashiriki na wewe katika huo ushirika wako. Pole sana mdau!
 
Nakumbuka JF ilikua "Home of great thinkers" haswaa!,hawa Chawa sijui viwavi jeshi hawakuwepo kwa wingi.
Walikuwepo sana, hawa huwa wanatumwa na wanamtandao kuweka mambo sawa.

Unakumbuka kipindi cha JK, wakati wa uchaguzi wa 2010 na hasa skendo za zaufisadi ziliposhamiri, walikuja wakina Zomba, Faizafoxy na wakati wa ishu ya gesi ya mtwara akaja The BIG Show, wote hawa ni chawa.
 
Pumba tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…