Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,767
usione sipatikani humu jukwaani jamani haya ni mahanjamu na malavidavi ya mtoto wa kitanga beibe nasty ... kaniita kwake tokea wiki mbili zilizopita, napikiwa, naogeshwa, nabembelezwa, nabebwa ka kitoto na mengine kibao.!! kasimamia cost zote na yote hayo ni kwa masharti mawili tu..
1. nisiingie jf kwa kipindi chote nitakachokua kwake
2. nifanye juu chini Judgement asijue..
kupendwa raha jamani, leo ndo nimeachiwa hapa nimerudi kighetto kwangu hamna ata a.c ka za mai beibe lakini kaapa kuniita tena ndani ya wiki chache zijazo.!!
NB: Naombeni mnitunzie hii siri jamani, akikisheni Judgement hajui hili