jf ilinipenda lakini beibe nasty alinipenda zaidi

Juzi kabla ya kumfukuza si akapaka tube ya dawa ya ngoz ktk mswaki nikaona asijenifia

Na ungechelewa tu kumfukuza,ungemkuta kavaa vipedo vyako akidai ni pensi,....huwa anasalimia mpaka watu wa kwenye tv,ungemuwashia ukaona
 
Ruhanzwe hujakosea unajua kunasiku nilikua nipo mlangon nasikia saut ya mtu anaonge sasa nkasema kunamgen laki nkawa nasikia sauti moja saana inasikika saana hamadi kuingia kumbe yeye bana etii anajibishana na tv nikasema huyu nikimchelewesha mno ipo siku atavaa my pichu kichwan nikamwambia kijana u are fired nenda kapumzike kweenu ndo naona mwez mchanga ndo limemuanza teena
 
mtoto punguza maufundi umempa nini huyu shoeshine wa sinza maana hata kijiwe kafunga kumbe umemvundika ndani,hongera kwa kujipatia houseboy

hahahahahaha bosi unaanza kusema kazi zako sasa, huku mi cna shida nina hangova ya malavidavi kuamka sa tano.. upo hapo na madame wako yule unaemgharamia
 
Dogo, haya maji makubwa!
Level yako ni wale wa kuokota kwenye mikesha ya mwenge, minadani n.k
btw hakuna ngoma isiyo watazamaji .
Karibu kwenye galery

za kwako changanya na za mbayuwayu, we unajifanya unajua kuongea na kupga mistari afu kazi huwezi... ngoja nikuonyeshe wangoni tunavyofanya
 
Hahahaaaaaaaa........
Watu wanataka kuvunja ndoa za watu.
Mwanaume huna haya, kuwekwa ndani nakugharamiwa kila kitu
Hafu unajitangazia mbele za watu.
Kweli we mwanaume suruale, una kasoro.

kwani tatizo nini.!? Sijamuomba kaniita mwenyewe na kanipotezea atp za ukweli tu sa lazima anilipe... nadhani akikubali kukusimulia we mwenyewe utantafuta
 
Ruhanzwe hujakosea unajua kunasiku nilikua nipo mlangon nasikia saut ya mtu anaonge sasa nkasema kunamgen laki nkawa nasikia sauti moja saana inasikika saana hamadi kuingia kumbe yeye bana etii anajibishana na tv nikasema huyu nikimchelewesha mno ipo siku atavaa my pichu kichwan nikamwambia kijana u are fired nenda kapumzike kweenu ndo naona mwez mchanga ndo limemuanza teena

kwahiyo hizo siku zote nilizokua kwako naangalia tv nakujipaka dawa ya meno nilikua nalala wapi?? emh sema kweli beibe jamani, kosa si kosa bali kurudia kosa ndo kosa jg atakuelewa tu..
 
hahahahahaha bosi unaanza kusema kazi zako sasa, huku mi cna shida nina hangova ya malavidavi kuamka sa tano.. upo hapo na madame wako yule unaemgharamia

ha,ha,ha....teh,teh,teh..uwii.Hongera kwa kupata ajira mpya ya uhaoseboy,kazi ulio nayo ni kumpiga chabo boss wako Judgement .alafu kaa ukijua Madame B hana ghalama,mafuta ya kujipaka anatumia ya kula,viatu vya kuazima vipodoz vingine vyote ni kwa majiran,kinywaji chake ni banana 2 hoi,halagi nyama anapendelea kande ndio maana anavigimbi,sema anauwezo wa kula ugali kilo kama tano peke yake
 
Last edited by a moderator:

Mamaaa weee!!!
@Ruha JR ndo umekuja kunianika huku?
Kwanza malavidavi yenyewe 0%.
Ndo tabu ya kuolewa na Maskini.
Kwetu nilikuwa naishi kama Malkia.
Bora shemeji yangu platozoom aje anichukue nikakae kwa kaka yake.

Mamndenyi uko wapi..???
Njoo ulichukue limwanao
SILITAKII...!!!
 
nilikufukuza kiungwana hukutaka,sasa nakufukuza kama pepo,......toka kwa jina la yesu
 
Last edited by a moderator:
kwani tatizo nini.!? Sijamuomba kaniita mwenyewe na kanipotezea atp za ukweli tu sa lazima anilipe... nadhani akikubali kukusimulia we mwenyewe utantafuta

Heheheeeeeeeee.....
Hivi ukiitwa nawe unaitika?
Khaaaaa...
Mwanaume wa hivyo hata aweje siwezi kumkubali kwani bwabwa.
 
za kwako changanya na za mbayuwayu, we unajifanya unajua kuongea na kupga mistari afu kazi huwezi... ngoja nikuonyeshe wangoni tunavyofanya

Kibisa's Snake at work !
Mbele hakuchezi na kulikobaki hakutingishiki .
Laa- haulaa!
Labda upunguze urojo!
 
Heheheeeeeeeee.....
Hivi ukiitwa nawe unaitika?
Khaaaaa...
Mwanaume wa hivyo hata aweje siwezi kumkubali kwani bwabwa.

Remmy! My Shem umekuaje?
Hapa ChtCht hatuporomoshagi mavitu ya ukweli ujue ?
Hii maneno ni confidential ! Inatakiwa tubaki nayo sirini , delete hiyo comments inamuumbua bwana.
Si wajua sie ni waugwana-wazawa?
 
Back
Top Bottom