jf ilinipenda lakini beibe nasty alinipenda zaidi

Remmy! My Shem umekuaje?
Hapa ChtCht hatuporomoshagi mavitu ya ukweli ujue ?
Hii maneno ni confidential ! Inatakiwa tubaki nayo sirini , delete hiyo comments inamuumbua bwana.
Si wajua sie ni waugwana-wazawa?

Nafuta kauli.
Asije mod nipiga pin bure.
 
Heheheeeeeeeee.....
Hivi ukiitwa nawe unaitika?
Khaaaaa...
Mwanaume wa hivyo hata aweje siwezi kumkubali kwani bwabwa.

sina historia ya kukubaliwa na watoto ka wewe ambao hamwezi kununua ata dawa ya meno, waache wanawake wenzio wenye hela na wanaojua mapenzi waendelee kutumia nafasi hii adimu... umezoea vya maganda hivi vya kumenya huviwezi
 
Remmy! My Shem umekuaje?
Hapa ChtCht hatuporomoshagi mavitu ya ukweli ujue ?
Hii maneno ni confidential ! Inatakiwa tubaki nayo sirini , delete hiyo comments inamuumbua bwana.
Si wajua sie ni waugwana-wazawa?

naona mnapeana moyo, ngoja nsubilie mwaliko wa nxt week mie
 
naona mnapeana moyo, ngoja nsubilie mwaliko wa nxt week mie

Where is invitation come from ?
I mean who one invite you ?
Then for which purpose ? Or dreams at works? Probably i think so!
Please allow me engage the vacancy.
 
Mamaaa weee!!!
@Ruha JR ndo umekuja kunianika huku?
Kwanza malavidavi yenyewe 0%.
Ndo tabu ya kuolewa na Maskini.
Kwetu nilikuwa naishi kama Malkia.
Bora shemeji yangu platozoom aje anichukue nikakae kwa kaka yake.

Mamndenyi uko wapi..???
Njoo ulichukue limwanao
SILITAKII...!!!

Ulichezea mihogo ya leo kwa ahadi ya mkate wa kesho
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom