jf ilinipenda lakini beibe nasty alinipenda zaidi

Junior. Cux

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
5,319
3,767
usione sipatikani humu jukwaani jamani haya ni mahanjamu na malavidavi ya mtoto wa kitanga beibe nasty ... kaniita kwake tokea wiki mbili zilizopita, napikiwa, naogeshwa, nabembelezwa, nabebwa ka kitoto na mengine kibao.!! kasimamia cost zote na yote hayo ni kwa masharti mawili tu..
1. nisiingie jf kwa kipindi chote nitakachokua kwake
2. nifanye juu chini Judgement asijue..

kupendwa raha jamani, leo ndo nimeachiwa hapa nimerudi kighetto kwangu hamna ata a.c ka za mai beibe lakini kaapa kuniita tena ndani ya wiki chache zijazo.!!

NB: Naombeni mnitunzie hii siri jamani, akikisheni Judgement hajui hili
 
Kama umegharamiwa hivo mtoto wa kiume jua kuwa kuna bili ya khatari inazaliwa kwa huyo binti. Na huenda ukienda safari hii ikawa ni mwisho kukanyaga Tanga.
 
heheeee kaoooge bwana wewe ustake haribu kijiwe hapa nyie ndo vifutundu tunaowasaka hapa jukwaan eti mtoto wa tanga waaaapiii my jg ndo anajua mi mtoto wawapi sasa wewe unaeish kwa historia imetafuna kwaako teeeena nakuonea huruma unajua coz hili suala my husband jg analifahamu na anajua kitu cha chitchat ndooo kabisaaa hapat hata sheli.my lovie upo wapi uje umsikie huyu anaejiita junior sijyi wakt mi nadili na senior
 
mhh nimejitahidi kukaa na hii siri lakini roho inanisunta, bora nimexema tu nitulie na nafsi yangu... kwahiyo jg umemdanganya we mtoto wa wap.!!!
 
Kama umegharamiwa hivo mtoto wa kiume jua kuwa kuna bili ya khatari inazaliwa kwa huyo binti. Na huenda ukienda safari hii ikawa ni mwisho kukanyaga Tanga.
huyu mtoto anajiweza ndo mana anakiburi na pesa.. ata hivyo huyo fataki wake bado anamuhudumia.!!!
 
mhh nimejitahidi kukaa na hii siri lakini roho inanisunta, bora nimexema tu nitulie na nafsi yangu... kwahiyo jg umemdanganya we mtoto wa wap.!!!

Eric b52 my shem analijua hilo kuwa mie sio watanga ashindwe jua my sweety hahaaaa refer kwenye winmbo mzee yusuph nakumbuka line chache tuu zunasema wapo waliotia hila penzi watuvurugie hawawez asilan asilan labda nife na wewe, labda nife niende kaburiniii au nife nimzike yeyee. Upo hapo lako hilo nina 50 zangu zanipeleka mbioo so braza kaka jg ndo mwenye kisu kikali ndo amekula nyama hiii pouleee
 
ha,ha,ha,...teh,teh,teh,unamaanisha uliingia mwisho wa mwezi ukiwa na mshahara,sasa umeachiwa baada ya mkwanja wote kuisha,then mwisho wa mwezi ukichukua mshahara unatunza ndani tena kama ndondocha a.k.a msukule...teh,teh....kijana umekuja umeg'aa kweli hayo ndio mapochopocho,unapewa chai ya alufu 18
 
Eric b52 my shem analijua hilo kuwa mie sio watanga ashindwe jua my sweety hahaaaa refer kwenye winmbo mzee yusuph nakumbuka line chache tuu zunasema wapo waliotia hila penzi watuvurugie hawawez asilan asilan labda nife na wewe, labda nife niende kaburiniii au nife nimzike yeyee. Upo hapo lako hilo nina 50 zangu zanipeleka mbioo so braza kaka jg ndo mwenye kisu kikali ndo amekula nyama hiii pouleee

mtoto punguza maufundi umempa nini huyu shoeshine wa sinza maana hata kijiwe kafunga kumbe umemvundika ndani,hongera kwa kujipatia houseboy
 
Heheeeeeeeeeeeee ruhanzwe mbavu zangu haiyayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiii
 
mmm kumbe huwa unacheka kwa kujiachia hivyo,tafikiri umeshinda hunda i10,vip lakini houseboy anajua kupiga dek?maana aliwai kufanya kwa Madame B mmm ilikua vituko,alikua anaogea omo,
 
Last edited by a moderator:
At my glance!
Mamsap ,
Thanks for always understandin' and being there for me.
I love you so much, i could never hurt you ever my cute lv NastyBeibe!
Let me be yours forever, just kip with the tone of cuteness and love. Haka kajamaa hakajanipa!
hakanipi !
hakatonipa!
Any kind of hurt, because aidha his a comedian or his mentality some minor LOOSE CONNECTION occured !
Thought kamtu haka kanahitaji maombi zaidi , than medical treatments !.
Kanadhani Ng'ombe hunenepeshwa at the auction day!
Utamaliza malapa Judge ala firigisi taaaratiibu.
 
Dats my hubby mmmmmwaaaaaaaah me love uu saana babaaa
 
Halijui hilo nahis atakua kakupata laazizi si unajua tena vijana wa sasahiv wanadhan watu wamepatanapatana tuu wewee achaa hii kitu aisee na hajui show zako unazopiga na kama mechi basi upo home na si away
 
mhh nimejitahidi kukaa na hii siri lakini roho inanisunta, bora nimexema tu nitulie na nafsi yangu... kwahiyo jg umemdanganya we mtoto wa wap.!!!

Dogo, haya maji makubwa!
Level yako ni wale wa kuokota kwenye mikesha ya mwenge, minadani n.k
btw hakuna ngoma isiyo watazamaji .
Karibu kwenye galery
 
Halijui hilo nahis atakua kakupata laazizi si unajua tena vijana wa sasahiv wanadhan watu wamepatanapatana tuu wewee achaa hii kitu aisee na hajui show zako unazopiga na kama mechi basi upo home na si away

Mpenzi tuachane nae, hana weight ya kutupa homework, twen'zetu tukabadilishane finyango.
 
mmm kumbe huwa unacheka kwa kujiachia hivyo,tafikiri umeshinda hunda i10,vip lakini houseboy anajua kupiga dek?maana aliwai kufanya kwa Madame B mmm ilikua vituko,alikua anaogea omo,

Juzi kabla ya kumfukuza si akapaka tube ya dawa ya ngoz ktk mswaki nikaona asijenifia
 
Last edited by a moderator:
mhh nimejitahidi kukaa na hii siri lakini roho inanisunta, bora nimexema tu nitulie na nafsi yangu... kwahiyo jg umemdanganya we mtoto wa wap.!!!

Hahahaaaaaaaa........
Watu wanataka kuvunja ndoa za watu.
Mwanaume huna haya, kuwekwa ndani nakugharamiwa kila kitu
Hafu unajitangazia mbele za watu.
Kweli we mwanaume suruale, una kasoro.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom