King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,283
- 98,885
Jackbauer...series ya 24!!
kuna thread kama hii,jzribu kuitafuta.
Jackbauer...series ya 24!!
king kong movie ya nyani kubwa..
Haaaaaaaaaa ile si imetoka 2005 na mie nimefungua 2010,tuzungumzie hizi za kisasa mfano yakhe kibela nyavu zangu zimechuaaaa na ID ya kibela ipo.
mboni sijaona ya sioi au nasari au hazina mvuto nini..
Hizo nadhan JF rules haziruhusu kutumia majina ya watu wengine wkt sio mwenyewe(Identity theft)
mbona kuna watu wanatumia majina ya watu wengine wakati sio wa mfano kuna memba kule spport anajiita chamberlin angali sio..
Mzee mzima Michael Scofield...mbaya wako Tbag tu! Jamaa nilikuwa namkubali sana!Nakuangalia....!
hata zilizosababishwa na matukio pesono tunasema? Au matukio ya kitaifa tu.
Tulale zetu mpenzi...unajua kwa hali uliyonayo kwa sasa unahitaji uangalizi wangu sana!Darling!!!
Huku ndio penyewe...wanangu wanapenda sana series, kila ikitoka lazima waniletee na mimi niiangalie na mama watoto!Rejao hadi kwenye Series upo me nilijua nyanga/muscle tu!