comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,108
- 16,100
Vibaya mnoHii itabamba
Wazo kuntu hili, Kipepe. ๐
500k inatoshaKwanini usiweke 1 milioni.
500k kwaajili ya hao walimbwende ambao umesema wataingia free
Hapo ni STAREHE tuu, hamna mambo ya siasa, tv 100" ukutaniWatu wasio julikana. Mpk wajulikane tu.
Kazi ni kipimo cha utu
Aisee nashindwa kuaelewa ๐ ๐ ๐
Yes๐ ๐Kwa sauti ya mchina. ๐
Mtataka tuHATUTAKI ๐ข
Yes๐ ๐
Mzigo unaweza kupanda wakati wowote500k tunatumia nini sasa acha kutushusha hadhi walimbwende wa JF
Siwezi kamwe kuhudhuria party za unyakuo๐Hakikisha unahudhuria party ya Kipepe. ๐