Pumzi imekata namimi naunga kamba.Kwa karata natakata ni sakata na utata.Kipaji ndani ya brain madini pima kinywani.Kama huoni mi miwani ya macho sina kificho.Natoa kila kilicho na kubariki kisicho.Mi muhimu ka handaki kwenye uwanja wa vita na thamani kama ndimu we ni supu shombo kata .Yoyo Mandingo
ile mida ya mingo
ndoo hii mtoto wa kigogo nampa kigogo kitamu mpaka tamu iwe hamu!!!
Mhhh pumzi imekata wakuu...
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Sitishiki na panya/Kumbavu nini hiki unaandika?/
Kelele mingi unayoita mistari ni komedi za futuhi/
Unasingizia ugreat thinker/ kumbe kufreestyle hujui/
Hautamaliza dakika/ nakutoa kwa left hook
Mistari kama upo gest/ mistari shit na sexless/
Hapa unapumulia gesi/ na flow hard mi ni borderless/
Ukiniquote na kunijibu utajitafutia kesi/
Mamito nipo hapa show off tukafanye gheto/Mmmh dogo unanuka uvundo
Mi jemedar sipagaw na nyodo
Unaleta slang mbovu,au ushabanw na kojo
Au hujui kiswahil vema, maana unaongea kam MAUDODO
Funga bakuli boy, nachek game ujue kelel zako c injoi
Freestyle mbovu, au we ni mwanasesere aka we ni toi
Fahamu kuwa hapa nimekita na hunitoi
Mi ni karabai taa kubwa, we mjing ni koroboi
Shindan na dem ako ku battle kwang we ni cheichei
Ndioman nakufany ninavyotak na hunitoi
Usikae sawa weka mguu upande/Ebwana sikuuona Uzi.. Japo ni wa Leo ila comment nyingi kama umeanza juzi.. Niko safi.. Kombati mithili ya Gaddafi.. Namiss viroba.. Niko high huwezi nikuta soba.. Mitindo ya kughani.. Daby piga beat dzain za majani.. Keyon nipe kipaza sitaki utani.. Nadunda kwenye beat mithili ya nyani kwenye miti.. Niko maskani nakula kijiti..
Mazee ngoja nikae sawa
Kwenye kundi la genge, we ni nyanya ama karotiReal Rasta mfuasi wa genge'
Naigeuza JF geto kama kijenge,
Huu msafara wa marapa haufuatwi na makenge...
Ooohh rrrraaahhh umerud tena/Sitishiki na panya/
kwa miruzi nakutawanya/
jiangalie, vibaya nitakufanya/ utatafuta sehem ya kupenya/ wenzako nimewatanya/
unakuja na mistar ya kusengenya/
We ni mlain zaid ya nyanya/
Taratibu nakutekenya/
Hata kama ukisengenya/
lord atakuponya
Wengine siwajui, eti wana fosi beefWatch what to say hapa tupo wanaume/
Funga mdomo nimekuja nyamaume/
Nameza kila kitu hata kama una mapunye/
Nikikuonea huruma nitakuja na Dume/
Spendin hours writing shit? Really?Wengine siwajui, eti wana fosi beef
Kimistari hausumbui, so am sorry chief
Don mess na mie, we tecno kwa apple
Usiku mwema bibie, namaliza hivyo simple
Mi naona mnanichokoza tu... nikiachia mistari hapa ntawaaibisha tu...Sihitaji mada kuchana.. Nahitaji beat kuwabana.. Wapuuzi kwenye Uzi mmejazana.. Niite shemeji dadaako ananiita bonge la bwana... Aaanha twendeeee
sina mpinzani.. kwenye fani ya kughani.. napata mizuka hasa nikinyonga mjani.. nafoka kishenz wala sio utani.. Yeeeahhh one two
Twende tena.. Yeeeah,
MMU.. Wanajadili Mapenzi tu.. hakuna wasaidizi wote ni wakuu.. swagga za majuu.. Asprin babu miss chagga mjukuu.. unabisha!? Basi sema suuuuuu....
Daby nipe mpinzani.. nimuonyeshe mautundu ya zamani.. mi ni old skul wakuja usilete utani..
Daaah... Haya mambo yanaenda na midundo wanangu
Asprin huna ishu huu mwaka wa mia/Mi naona mnanichokoza tu... nikiachia mistari hapa ntawaaibisha tu...
Bora niendelee kuwastahi...
Terms and conditions apply, niaje mzee naniHii haipelekei kupigwa ban si ndiyo wakuu?
Hahahahahaaa..... dah!Asprin huna ishu huu mwaka wa mia/
Kila siku unaitwa babu unaishia kuangalia/
Mkwara mkubwa hebu kaa kushoto tulia/
Sihitaji mada kuchana.. Nahitaji beat kuwabana.. Wapuuzi kwenye Uzi mmejazana.. Niite shemeji dadaako ananiita bonge la bwana... Aaanha twendeeee
sina mpinzani.. kwenye fani ya kughani.. napata mizuka hasa nikinyonga mjani.. nafoka kishenz wala sio utani.. Yeeeahhh one two
Twende tena.. Yeeeah,
MMU.. Wanajadili Mapenzi tu.. hakuna wasaidizi wote ni wakuu.. swagga za majuu.. Asprin babu miss chagga mjukuu.. unabisha!? Basi sema suuuuuu....
Daby nipe mpinzani.. nimuonyeshe mautundu ya zamani.. mi ni old skul wakuja usilete utani..
Daaah... Haya mambo yanaenda na midundo wanangu
One two, one two everybody say 'yeah' coz the sucka is through/Terms and conditions apply, niaje mzee nani
Hapa ni maujanja na supply, flow dawa kama kiatu cha baniani
Tabia zenu za kidada du, alafu mnataka shindana
Shirika lenu shilawadu, umbea ndo job discription ya unachofanya