Hahahahaha mwingine huyu hapa kaukanyaga moto/Unakimbiwa na ma lena
acha fundi nkutatue
mkali wa hz kaz
JF nikisanue,
nawakilisha MMU
sio mayoung ,watu wazma
huwez batle nami
so bro natunza heshima
Nitakuua kimbiaTashiriki
Yuck ptuu unaita hii mistari?Mi ni master wa batle take care braza,
Bado nakulea ingawa wewe umekaza,
Mistar yako dhoofu ipeleke angaza
Mi ndo dingi wa huu uzi nawakaribisha ma maza!!
We mzembe huwez hii bora ukalale
Au ndio walewale , wakuitwa bab tale
Acha shobo , vidume tutakupumulia
Au sió riziki umekuj jf kutuchafulia.
Nakufunza mzee usijibu kila post!!
Si unachek kama hii ilivyo ku kost
Umeumbuka kama demu alie azima dera la shosti
Huku ukijiuliza sijui utaanzaje kupost [emoji16][emoji16]
Haha Haha acha nicheke kwa dharauBraza men punguza hasira, post yangu najua imekuchoma/
Umeingilia msafara,
Hujui naeza kukupotezea kigoma/
Freestyle naijua mchizi ntakutoa kafara,
Nakushanga unajiona mwamba kumbe una homa/
Hebu cheki mistari makini-unasoma kwa umakini-mtoto umetoa jicho kama unalambishwa mpini/
Nakushangaaaa! unajiona makini-na mbio zako za sakafuni-zimechacha kama vyakula vya kingoni/
We uniwezi bwana mdogo saizi yako sio mimi,
hapa utakula za mgongo
dogo usicheze na mimi/
Boniuso Boneface/ kidaruso panda naona umeingia na sketi/Nitabaki milele kuwa bingwa , mrembo gan utapinga
Maana hawana cha kupost zaid ya kutoana MARINDA.
Haha nyie Vijan punguzen genye
Mtabak mpk vichaa afu mjikute wenye
Upungufu wa vina kichwani
Msijue cha kuandika zaid ya kutoan marinda mku.... Ni
Sijisifu ila tayari ushakaa/Fasihi ni fasihi iwe andishi au simulizi,
Kaa ukijua leo umekutana na mjuzi,
Unaleta za sungura sizitaki mbivu hizi,
Nenda jukwaa lingine huusiki na huu uzi,
Kuna kishazi huru na kishazi tegemezi,
Acha ninyambue ili nikuweke wazi,
Sikukatishi tamaa ila jua huniwezi,
Hii ni ruti ndefu kama mbagala na mbezi,
Huwezi kugani labda fani ya ulonzi,
Nipo siriaz wala usilete mapenzi,
Kubali nikufunze niwe wako mkufunzi,
Yashike niyasemayo uwe mwema mwanafunzi,
Siitaji mgogoro nawe ka Tanzania na malawi,
Mi nachambua hizi sentensi kwa njia ya matawi,
Kumbavu nini hiki unaandika?/Sijisifu ila tayari ushakaa/
wacha nikuonyeshe ninavyofoka/
Nakusanya dunia ya great thinker/
Nawakalisha chini wanaandika/
Mistari yako kwao ni takataka/
fasihi yangu inasikika/
Sentensi zinaeleweka/
ufalme washanisimika/
Nashangaa unaropoka/
unazungumzia fasihi uliyoikimbia/
Hata kuieleze ujui unalia/
tuwachie hii mikasi nakwambia/
jiandae kwa skuli usije lia/
sizonjemadawa
BigaBaba acha ngenga umekutana na BabaBig/shindano limepoza kama chai na mkate
.
anasemekana D.A.B.Y ni Daudi Albert Bashite.
Boniuso Boneface/ kidaruso panda naona umeingia na sketi/
Psss ah kuja hapa uketi/ sikiliza beti za kiume zikikupeti peti/
I hope you will stay because others left/
Okey dokey naona unapenda kuparamia watu/Wee mwenzako nime mchamba ,kaenda kojoa amelal
Nashangaa Wew huogop na umekuja kifalala
Okay njoo mzee ila uje umechamba
Nin big dick, so ni ruksa kwako kujamba
Haha Haha naona leo utatapika
Lakin si umetaka mwenyew jikaze utafika .
Nimepiga wenzako wawil, wote wamekimbi
Wew umeingia chumba cha mait na hakin mlango wa kutokea.
Mzee saiz nmekupa hii ni last warning
Usije kichwa kichwa kama unajijua hunag hat timing
Mwanangu wewe samjo nimekushtukiaNipe wali pamoja na kachumbali,
Kama umeisha we nipe tu ata ugali,
Kama nao amna nipe chochote tafadhari,
Mana hapa nilipo tumboni mwangu so shwali,
Nyumbani kwetu makochi yamekaa mbali,
Mchana nzi ukisu mbu yani huwa hatulali,
Si unajua uswazi taka kila mahali,
Mbele panga nyuma rungu yani kitaa hatali,
Ngoja nikimbie naogopa askari,
Mana jana tu nilikamatwa kwenye kamari,
Mwambie dogo ajifiche juu ya dari,
Mi nakimbilia chachi nazuga naenda kusari.
Mmmh dogo unanuka uvundoOkey dokey naona unapenda kuparamia watu/
Slow wind for me nose down ass up nakupiga vitatu/
Please ride my dick usiride matatu/
Ass soft umejileta kama mbwa kwa chatu/
Ingia mjengoni ky inakuhusu bao jingi kama bwawa la kidatu/
Upo vzr mzee, krbEbwana sikuuona Uzi.. Japo ni wa Leo ila comment nyingi kama umeanza juzi.. Niko safi.. Kombati mithili ya Gaddafi.. Namiss viroba.. Niko high huwezi nikuta soba.. Mitindo ya kughani.. Daby piga beat dzain za majani.. Keyon nipe kipaza sitaki utani.. Nadunda kwenye beat mithili ya nyani kwenye miti.. Niko maskani nakula kijiti..
Mazee ngoja nikae sawa