life coach
Senior Member
- Apr 11, 2017
- 121
- 401
Dudu ni dudu liwe zuri au baya,Hahahhaha kijana pole/ unajifanya mlokole/MMU imekushinda nenda kalale/ kule hatusimulianagi misukule/ ni mapenzi tu kwa kwenda mbele/ MMU siyo ya watoto wale wa babu tale/ kule tumejaa watu wazima tena tele
Watch what to say hapa tupo wanaume/Nilianza zamani long kama Thursday kwenye TBT
Sio wewe new comer me old kama TVT
Nasambaza injili kama kanisa la E.A.G.T
Hata tuki battle wawili me ndo B.E.S.T
We mshamba wa Chato hizi pande hazikufai unazingua/Yoo yoo
Veya nifya unene nigenda wuli pakilo unisindihe lio niupe mng'asi yoo yoo
Real Rasta mfuasi wa genge'Inajulikana, mtengwa real ni mmoja
Kwa hiyo mwana, kaa mbali we wakuja
Mnaiga hadi Id, Mnacopy kama surname
Wivu na mna hii,Mungu akurehemu
Nikikudiss sitafanya vyema
Nakuacha uSEPE TU, we madame WEMA
Nimeondok kidogo tu umerudi kwa makeke/Real Rasta mfuasi wa genge'
Naigeuza JF geto kama kijenge,
Huu msafara wa marapa haufuatwi na makenge...
Rudia maandishi/Dudu ni dudu liwe zuri au baya,
Naona unataka kupandwa kama mlima wa himalaya,
Katafute saiz yako kwangu umekanyaga yanya,
Nakuua huku nacheka kama mzee mzima jakaya,
Sogea sogea tu kama ray c,
Mana naona unataka nikufanye matusi,
Njoo geto kidume nikutinde nyusi,
Nikupapase mwili alafu nkupige pasi,
Umeingia meli ya wagiriki,
Kilichobaki ni kukufanya mshikaki,
Utaponzwa na kiki,
Mimi siingiliki,
Nakuvua nguo so kama muungwana chutama,
Nakuvua vyeo kama nape mbunge wa mtama.
Unakimbiwa na ma lenaNaona kama nimekimbiwa...
TashirikiMwaka juzi kulikuwa na battle ya Mitindo huru humu jukwaani ila baadae sijui yaliishia wapi. Huu uzi ni mahususi kwa mashindano. Na kwa kila mwaka mshindi atakuwa ana be updated hapa.
2015 nilikuwepo mimi Daby magnifico Kaka Jambazi Benny Kaboom gwijimimi chlorine gas na wengineo nimewasahau. Taratibu za kushiriki comment jitaje utashiriki then tutapanga round za battle hadi mshindi apatikane. Mshindi anapatikana kwa kura za watu watakaokuwa wanafuatilia. Mimi nitakuwa mwongozaji. Tunataka Mitindo huru sio mistari iliyokwisha kaririwa.
Demo:
natoa kali ya mwaka
Keti kitako uniskie/
MMU leo inatia shaka
Dent wamejaa kawasikie/
Wengi stori zinatia shaka
Still wanashauriwa nakina Shunie/
Nobody could do it
The way I get it up/
I ain't stop til
HR666 na wenzake wasup/.
Keyon Mkwawe dumesuruali kanali mstaafu oscarsolomon b5-click dutty pk life coach CHE Raptino
Karibuni au sio.. tudumishe utamaduni sio. Kama unashiriki sema. Mashabiki karibuni pia.
Mi ni master wa batle take care braza,Nimeondok kidogo tu umerudi kwa makeke/
Fresh umerudi tuendeleze libeneke?
Unaonekana mwepesi kama mlevi kwenye mlima sekenke/
Ukiwa poa nishtue nikurukie mateke/
Yoh, nipeni muda nijikoki kwanza nikatoe loki* najitahidi kujituma bado kwenye mziki sitoki,
Maisha yangu majeraha kama mpira wa pele* kuishi bongo ni karaha bora nisake life la mbele
Maskani hazikaliki umri nao unasonga*Ukiendekeza dhikimtoto wa kiume utagongwa.....
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377]
Fasihi ni fasihi iwe andishi au simulizi,Rudia maandishi/
umeandika ucheshi/
error kibao haziishi/
afu unajifanya ww ni m.c/
hiphop siyo matusi/
tunaelimisha yaani peace/
kweny mistar you are not nice/ wacha nikuchane uwendelee na unesi/
Hii ni fasihi aliyoshindwa stamina/ we mtinda nyusi size yako kina Amina/
mistari yako haina vina/
bado unaleta porojo kwenye hiki kina/
ushamaliza kuandaa dinner/
Au unaleta fitina/ fanya kazi za nyumbani ukimaliza msuke tina
We mzembe huwez hii bora ukalaleKama ni muda tumekupa
ila naona bado hautoki/
Naona umekurupuka
chaajabu bado hauchoki/
Nakushangaa bwana mkubwa
unawaza tu kuishi mbele/
Usimwone Mbwa-kipindi cha sama-ta-nzania inanjaa sanaaaa/
Ukianza kuwaza kugo-mbele utagongwa sana/
Nipe wali pamoja na kachumbali,Demo,,,
Yoooooo
Nipe wali,pamoja na kachumbali
Nyumbani kwetu,makochi yamekaa mbali mbali
Wewe unaitwa nani,ashirafu au ally
Ngoja nikimbie, naogopa maaskari
Usilete ufogo, kwanza bonge la chogo
Kwetu usije, kwanza Leo hamna ukoko
Sema nikupe ugolo, gongo au mnyololo
Mtoto mdundo, mamiguu kama nyundo...