It's true am so local man that's coz am hood,bring your mouth maisha yako ni bul shit
click your button verse zako niblow digit
mi ni chafu homie u need training ili uweze kuwa fit
i told bout my side you so local in industry never u cantvmake it
am your winner we ni mtumia mikorogo ya kichina na hauwezi kucheza za bit
punguza ushamba homie kwa hizi chati we boga nishakutoa out
Unatega niwe bize na goma langu ili uje kutamba,mambo mingi vitu vingi kwa kichwa nipo big thinker
way to day one mapema tu ninja nishapewa ujazo wananiita master drinker
ni peace kwa love naishi kila area zangu hot wengine washakuwa linker
kidogo hili ni somo liko differ kwa settlement
naama upande wa pili failier kaja empty kakosa managment
hii ni big bang mixer slang humu kuna andaground soon nitamuajili awe my client
naona umeamua kuleta ngonjera kilaza usiyejua kusaka tongeNicca so early shit na umeliamsha dude,
Kwa freestyle mi mtamu ndo umeniganda ka kupe,
Kichwani kwako patupu kama mwanafunzi wa upe,
Hata hujui nikifreestyle nagewa leseni ya kuchafua lugha,
Ila naipamba kwa vina unatoka utamu wa asali na shuga,
Ingia gheto nikufunde haujui kitu unazuga,
Nna mbuzi kama wewe nimeamua kuwafuga,
Una hamu ya maneno safi? Ingia jukwaa la lugha
misele kihelehele unashoboka kunifollow sinyoritaUnatega niwe bize na goma langu ili uje kutamba,
Utakoma kuniiga freestyle utachanika msamba,
Suma aliomba mkasi awakate kamba to kamba,
Mi naiomba koni nakuletea mtoto lamba,
Hii mistarri haikauki kichwani nina bonge la shamba,
Nachuma nnachotaka halafu nakuletea famba,
Uisome na uifeel nnavyokuchoma shenzi castr ndiyo mwamba
Mshamba acha kukariri kazi siyo lazima ofisini,naona umeamua kuleta ngonjera kilaza usiyejua kusaka tonge
hivi sasa ni asubuh nenda ukatafute kazi usivunge
najua wew ni homeless usiye na mishe town cheki ulivyo na wenge
kama vipi njoo kwa ofisi nikupe mtaji angalau ufungue genge
uuze nyanya na bamia nakuhurumia leo nakuvesha vitenge
njaa zina kuponza boy kwa huu msafara wa mamba najua haukosi we ni kenge
unajikongoja mpiga debe kinamba nakuchafua kamavgoli la chiziIt's true am so local man that's coz am hood,
Been doin th shit for so long man and I wasn't understood,
Till I hit em with punch after punch and started supplying the goods,
Now every nicca know who the real deal,
I show up in a battle you pussies falling ill
ulivyo boya eti unaleta stor za michepuko sita huo si ushambaMshamba acha kukariri kazi siyo lazima ofisini,
Wengine tunasonga na madili ndiyo yanatuweka hapa mjini,
Ultimatum ya Magufuli tumeidindia na tunaendelea kuwini,
Nna watoto wawili na michepuko sita,
Wote nahudumia mimi dili zangu zinatisha,
We mshamba wa Kibiti umefungishwa ndoa ya mkeka,
Kuhudumia kwako mziki demu wako anateseka,
Ngoja wajanja tumkamate na tuanze kumuweka,
Utatoa macho zaidi ya Rayvanny wa Zezeta, au yule mwana Sheta
Beast mode on sasa naua mende kwa nyundo,misele kihelehele unashoboka kunifollow sinyorita
kwa leo we upo doro kimaisha wewe ni mama sita
usicheze na hii brain kubwa nasikia matonya alikuimbiaga nyimbo wew si yule anita
naona moyo unakudunda king mr. nakubamiza mpaka usiku unaniota
joto la stress limekutawala ushapotea kwa mtawala ona afya yako yadhorota
kunifikia mimi ni ngumu daima utaishia kusota
Nimekubali niwe mshamba ujanja wa jiji ni uchangu,unajikongoja mpiga debe kinamba nakuchafua kamavgoli la chizi
kiushamba umenyakua ila kwa flow nipo deep hauniwezi
kiwango chako ni juu ya ardhi kwenye maji utakufa hauniwezi kwenye mbizi
kama boti we ni dizain ya mtumbwi ni baba yako nyambizi
mi ni boy hit maker kwa wew utaishia kuchuna mabuzi
naona umekutana na wembe mkali na ushakuchana usijaribu kushonwa nyuzi
since day one we mlittle tu tena humu kwa jf nakuona makuzi
Utumbo na ndizi za mafuta,Beast mode on sasa naua mende kwa nyundo,
Sikuangalii tena usoni ni kipigo kwa mafumbo,
Mbuzi endelea kujileta tutalia ndizi huo utumbo,
Level zako za kunyeka upuuzi wa fundi mchundo,
Mashudu yamejaa nyuzi na pumba za mbwa Cujo,
Nimekataa makuzi na swaga shit za kuendekeza tumbo,
Dogo bado haujajua soon utaliwa utumbo
Siongei lugha ya mtaani,kama nimetumwa na TUKI/Nakuona sasa unampaisha na sterio,
Nakupa tu habari mi moto usije toka mbio
Freestlye kwangu zipo interior,
So uje imejipanga kivina au sio?
Hiyi siyo privacy hiyo ni kukuonyesha ninavyowajibika,ulivyo boya eti unaleta stor za michepuko sita huo si ushamba
unazianika privacy zako zisizo na faida kwangu hiyo ni akili yenye ukimba
naona haujui maana ya ofisi ndiyo maana umeongea mitumba
ofisi popote pale siyo kama ufikiriavyo nahisi ushazoea ndumba
kiama chako kichwa chako kwa mimi lazima utayumba
hili ni vumbi la mawe wew mchanga hauna madhara chek navyokutia mimba
TutakuuaNASHIRIKI KAMA IFUATAVYO
MI MBAYAAAATutakuua
So nice I wanna taste a new pussy,Uje mmoja mje wengi, hamwezi nizidi POWER
Wote nawakalisha ka kijiwe cha KAHAWA
Hustle zile zile, kwenye pesa i NEVER REST
Leta mchongo niwe active kama JOSE EVEREST
Jipange na mistari, usije SPIDI NA KUNITUSI
Ntakuvujisha kwa cku saba, UTABLEED KAMA P**SY
Aaah wapi mi mkongwe siwezi kuwa chaputa,Utumbo na ndizi za mafuta,
Long time mwana nakujua chaputa,
Kazana sana mbele ntakukta,
Usipojicheki chalii utaumbka,
Njuka unazingua na vesi za kuokoteza,Siongei lugha ya mtaani,kama nimetumwa na TUKI/
Me na we hatufanani,najua umenzidi chuki/
Hata usipoleta utani,lazima utatoka nduki/
Naandika mistari gun,ukiandika mistari mkuki/
form 1