ha ha haa kweli we kilaza hata vina hauvioniKimistari we Kayumba utabakia hapa hapa,
Hauna vina unayumba kama matusi ya Mkapa,
Mistari imejaa pumba haiwezi shindana na gangster rapa,
Mistari umeijaza shombo na shobo za choko kaoge,
Mistari yako midogo ni robo kutusua labda uloge,
Natishia amani kwa punch na pumzi mambo yako mchafu koge,
bado sana jipange ikiwezekana uukusanye hadi ukoo wakoNipo ndani ya basi naelekea K koo,
Mbuzi unaniquote na mistari ya kibishoo,
Nakutoa knockout kwa punch mi ni soo,
Dogo Lusematic karibu unyonye mb..
Hahahaha dah mzee kazi zinakuzidi uwezo unaanza kutema shombo,
Msosi wa mistari nimemaliza kaa ungoje makombo,
Umeuingia huu mziki ni lazima uende kombo,
Mistari yako hohe hahe, nakufunika na hizi lyrics mpaka upagawe,
Mi ni mgumu kaa mbali we brazamen wa Madale
Mi kilaza na nna ladha za kukulaza king'asti,ha ha haa kweli we kilaza hata vina hauvioni
nahisi ushageuka mwali mwali na inabidi uingie unyagoni
upeo wako kandambili mi nakunyoosha hadharani
fedhui hauna jipya flow zako tongotongo hata hauoni machoni
nakulaza kifudifudi huu mchezo hauniwezi utakufa maskini
njaa zimeshakutawala we snitch sikupi gwala cha ajabu umevaa shanga kiunoni
ukiniona mimi jifiche haya makucha next level nakuchalaza vitani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napiga mbwiga vipigo na bubu ataka kusema,bado sana jipange ikiwezekana uukusanye hadi ukoo wako
mjijaze na mje wengi bila kumsahau yule dada yako
ligi yako ndogo mpaka unaingiza tusi mi si level zako
dalili za kushindwa naona unatoa utapishi mi ni bora kiboko yako
tafuta kijiji cha kwenu kisha mje na kilugha chenu na bado nitawachapa fimbo za matako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi syo mwanaume wa Dar mi ni kulubembe la dunia,bro kumbe na wewe mwanaume wa dar?
nishaskia stori zenu mpaka nimeshangaa,
mnapenda sana viepe na huku mnavibamiaa,
unajiita mgumu wakati una sura nyepesi kama bagiaa,
vigodoro ndo kazi yenu hizi fani mnavamiaa,
Tulia le mutuz weweAm back mazafantaaaa
Lemutuz mwanaume wa darTulia le mutuz wewe
Mi syo mwanaume wa Dar mi ni kulubembe la dunia,
Unantaman npo Dar kuja huwezi unabaki kulia,
Unaulizia kibamia? Yea nmezipanda nyingi zipo kwenye bustani,
Ute nikiunyunyiza lazima utaniita hani,
Nielekeze ulipo nkufate kuna tatizo kwani?
Hauwezi kua fasihi bila swaga za mfano,Lemutuz mwanaume wa dar
Gwijimimi the Kamasutra ndo fasihi ya mtaa
Kwa Tanzania Dar ndiyo kila kitu,nije dar kufanya nini,hakuna hata madili,
kazi kushinda vijiweni,hamna kazi wala shughuli,
sasa hivi mnakula unga,mnamlaumu tu magufuli,
mnatembea kama vinyonga,wengine mnapiga puli,
unataka nikuelekeze nilipo?,poa njoo nikupe akili,
upanue mawazo yako,uongeze uwezo wa kufikiri.
karibu saaaaaaaaaaaaaaaaaana brother,,,,,,,
Dogo kelele nyingi umevagaa uzi wa vina,oi oi oi [HASHTAG]#Daby[/HASHTAG] jombaa/
i think humu ndani ni full kinyulaa/
natoka kaskazini pande za r.chuga/
ukipenda ita arusha kama vipi we vunga/
huwezi kutana na teja wala hakuna mapunga/
huku kila mtu bilionea i mean tuna mpunga/
hip hop ngumu ilipozaliwa hakuna wabana pua/
sizani kama nna mpinzani hasa kama unatoka darisalama/
wakushinda kwa chips yai bao moja unalala/
kuogopa panya road kujificha under verossa.....oi oi oi anayeweza ajitokeze!......
sampuli ya boya kama wewe najua kichwani hauna kituMi kilaza na nna ladha za kukulaza king'asti,
Lyrics sweet I go harder hauniwezi bi shosti,
Kwa freestyle mi ni baba chek mistari kazi ka samasoti,
Hiki kipigo natandaza endelea kuniquote,
Bi dada hapa umevaba we endelea kujiseti,
Hauna wa kumfunika na mistari ya choklet
hapa hakuna cha gwajima ila nachojua wewe nivmama hurumaNapiga mbwiga vipigo na bubu ataka kusema,
Hizi ruti ndefu dogo naona unahema,
Nilishapewa mke kwa haya madini ninayotema,
Nakukemea utoke hayo majini ka Gwajima
hapa hakuna cha gwajima ila nachojua wewe nivmama hurumaNapiga mbwiga vipigo na bubu ataka kusema,
Hizi ruti ndefu dogo naona unahema,
Nilishapewa mke kwa haya madini ninayotema,
Nakukemea utoke hayo majini ka Gwajima
I think big mistari hit hakuna pimbi wa kuizima,sampuli ya boya kama wewe najua kichwani hauna kitu
unaForce hii talent wakati ubongo wako umejawa kutu
unaleta udada du leo umekutana na mtukutu
mistar yako mepesi inaelea mpaka pasipo na maji nakujipa moyo eti unathubutu
big boy mimi big toy wewe hauna radha na nitazidi kukukimbiza pasipo mtutu
una vituko ile mbaya nakucheka ile sana we ni miongoni mwa wale watu wasio na viatu
baba yao boss wenu wa flow wenu ni mimi niliyekuwinda pasipo msitu
jishangae kisha nenda kwa bafu ukakoge mwili wako umejawa na ukurutu
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]