Let's go broWozaup all Jf stand up
Nathink bigger zaidi ya ben Carlson
Hizi freestyle tunazijua zaidi ya ngumu za mike Tyson
Yeeeeeah
Kwahiyo ni mashindano!!! Ukikosa usirudi nyumbani.Haha .
Wew rudi nyumbani nitaleta zawadi tunayoishindania hapa.
Get be on my handBob umejichanganya na mistari komedi ya Chipukizi,
Nimezaliwa kufanya natema bars we umesizi,
Ukitaka kupona kamuombe mshana jr hirizi,
Au muite CHIKIRA MTABARI aje kunipleas,
Nikuonee huruma nisikutoe injuries leo nna hasira ka mkizi,
Valentina ni wa Mondray umeamua kulivunja pendo,Yes, they call me Daby
Kwa Rap nipo simple/
Valentina ananiita hubby
Unataka battle hunahata wimbo?/
Ubingwa ni wangu
Wahi chimbo ukauze na machangu/
Japo narap kwa hamu
still nawaona floppy kaa Ram/
Kwavile mimi nipo kashakosa, we mpe pole kabisa.Kwahiyo ni mashindano!!! Ukikosa usirudi nyumbani.
Valentina ni wa Mondray umeamua kulivunja pendo,
Kufreestyle huwezi umeamua kuiba wachumba,
Penzi lao lilishamiri siyo bure ulitumia ndumba,
Mondray yuko hoi anasikiza ngoma ya Mwanayumba.
Uanaume umehama siyo wa kujisifia kitanda (cc: miss chagga)Get be on my hand
Bro Nakupa fair play/
Ukitaka uje kwa my bed
Mi Fundi wa kitanda kama aslay/
Hii ni vita ya korea
Missile zinalipuka kaa volcano/
Nakaba strikers mnapotea
Nawaminya, dizain mmeiva kama avocado/
Niwakumbushe kuna Gonorea
Mjihadhari na katikati ya mabano/
Nawaonja nawachovyaNawaona mmeanza mbio, bila kujua mwisho, wengi walioanza sio, unque anakuwa kitisho, ukinigomea ndo ndio, nipo mpaka hitimisho, mlifyatuka bila mlio, sasa nawaona wapaka picco
Unakula mke wa mtu anza kulinda marinda,Sio kuvunja pendo tu
Nawavua hadi vipedo/
Mwendo wa mateka mikono juu
Mkatoliki nasambaza upendo/
Wee haumwoni faiza wa Mr 2
Ukiachwa unapoteza hadi nyendo/
Chunga maneno yasije kukugeukia,Nawaonja nawachovya
Wananiita unju bin unuq/
Nawananga in a jovial
Mnafake hamstuki/
Hitimisho la Vitisho
Nakuvalisha pete dada zako Wapige vivijo/
Uanaume umehama siyo wa kujisifia kitanda (cc: miss chagga)
Spitting shit and blunder, jipange umiliki hata kibanda,
Hili balaa ndo limeanza hebu kaza mkanda,
Nikupigishe mchaka mchaka mpaka uuhame uzi,
Waite wengine washuhudie ninavyotema ujuzi.
Kwahiyo nawe una enzi eti!!!Ushindi wangu ilimradi ushaniambia nisirudi nyumbani. Sema nimesahau hii kitu tu... enzi zangu hapa tungeshakuwa tumeshabeba ushindi asubuhi
Balaa linakuzidi kimo unageukia ulozi,Uanaume umehama?
Unatafuta backup ya miss chagga/
Hata uwe pedeshee mtoto wa ndama
Kidume, mtoto umkune ndani ya chagga/
Tuulize sisi
Wakongwe wa kambi ya fisi/
Kabla ya kuingia u-cc
Town tuliishi kwa fix/
Ujuzi wangu hauelezeki
Dadeki juu ya mlima sitetereki/
Ndeleko chana sibebeki
Nakuingza uvinza ukapigwe deki/
Cheki, weka steki minyama legelege nailenga kati sifanyi misteki/
Castr baki na mimi,
Au unataka nikutumie jini/
Majani natupia, ndai kali rodini
Nachange gia, bei gali nauza madini/
Hahaha weww jamaa baadae bwana