JF Hip-hop frestyle battle

Mtemi mtemi gani unakimbia battle, mtemi wa hivyo ni mmoja tu anatokea Chato,

Au umekua yule mtemi anaitwa Kisandu, kwa huyu sibishi maana una hamu na punch zangu,

Naendelea kukupa ladha, ndefu, ngumu sura ya Farid Kubanda,

Umekua ka Bi Mwenda kazi yako kuwanga, umejileta nakutenda ka Shishi kwa Mziwanda,

Hiki kipigo kitakatifu huko ulipo unapumulia mashine, ulijifanya kutaka battle na deni langu lilipe,

Freestyle zako shit huo ni upuuzi mwingine.
 
Mwanangu unaenda church kamuombee mwenzio,

Kwa jinsi nnavyomtachi asije akatoka mbio,

Nimeshusha sana madini kategea nilale, ila mida ya majini akataka atawale,

Hajui siku hizi kunakucha mapema, wana tushaamka tumemrudia tena,

Single touch double...kama balaa la Gwajima.
 
Yap yap yap walezi/
Tunashindia viazi/
Sababu ya wazazi/
Tunayapenda malezi/
Yasio ya kipuuzi/
Geto letu la mianzi/
Tumeezeka kwa magunzi/
Hivi mnasikiliza au mnatoa ushuzi/???????
 
Yap yap yap walezi/
Tunashindia viazi/
Sababu ya wazazi/
Tunayapenda malezi/
Yasio ya kipuuzi/
Geto letu la mianzi/
Tumeezeka kwa magunzi/
Hivi mnasikiliza au mnatoa ushuzi/???????
Umeanza kuchana halafu yap yap nyingi,

Kwenye freestyle hizo siyo msingi,

Pumzi yako ndogo soon utakata ringi,

Ukiniquote umepotea nakuingiza kingi.
 
Umeanza kuchana halafu yap yap nyingi,

Kwenye freestyle hizo siyo msingi,

Pumzi yako ndogo soon utakata ringi,

Ukiniquote umepotea nakuingiza kingi.
Kingi nakuingiza wewe/
Umedandia kama mwewe/
Omba mwongozo upewe/
Niogope kama mkwewe/

Una pumzi niendeleeeeee
 
Kingi nakuingiza wewe/
Umedandia kama mwewe/
Omba mwongozo upewe/
Niogope kama mkwewe/

Una pumzi niendeleeeeee
Basi haina noma naona umesogeza pua,

Muuluze Lusematic nilivyomrarua, sasa hivi kakimbia amejuta kunijua,

Mwongozo siombi mi ni mmiliki wa kitengo, kwa hiyo mistari sikuogopi we ni mwali kigego,

Hapa sasa tulia ushaingia kwenye mtego, tia sana vitasa mpaka yabaki magego.
 
Naona umeishiwa kama muuza shisha/
Tulia nikuelekeze acha kubahatisha/
Hao wote unaowataja sioni wa kunitisha/
Walijaribu battle na Mimi wote nikawapukutisha/
We mtoto wa juzi saizi yako kuogeshwa/
Mbona wachechemea kama aliyekatwa bushaaaaaaa/
 
Naona umeishiwa kama muuza shisha/
Tulia nikuelekeze acha kubahatisha/
Hao wote unaowataja sioni wa kunitisha/
Walijaribu battle na Mimi wote nikawapukutisha/
We mtoto wa juzi saizi yako kuogeshwa/
Mbona wachechemea kama aliyekatwa bushaaaaaaa/
Unanisikitisha unapoteza muda kujibizana na master,

Wa kusoma we bado mi nina phd na masters, nakupiga search ulivyonavyo navipukutisha,

Wenzako washakimbia wamekubali natisha, halafu ona sasa ninavyokutikisa,

Kuchana umeshindwa umeamua kughani, kwa mistari mitupu ka kipara cha Regani,

Hizi lyrics tamu utamu wa mistari ya Rehani, mistari imejaa ujanja kama nyani wa Mbegani,

Hauchoki kuisoma ka jarida la Burudani, siyo lile bab kubwa,

Leo nimekabidhiwa pimbi mtashuhudia makubwa.
 
Unasema eti umesoma weka vyeti tuhakiki,
Yasije kuwa ya Bashite akiulizwa hashikiki,
Huna unachokijua nakushauri kimbia nduki,
Hivi unaamini unaniweza au unatafuta kiki,
Nimeshachunguza sana wala huhimili mikiki,
Kwanza ulivyo mshamba eti umevalia kaniki,
Ningekuona mjanja bora ungeshonewa batikiiiiiiii/
 
Batiki wanavaa wahaya we mshamba hauwezi jua,

Mi ni mtu mbaya naendelea kukupasua, nipo siku ya nne humu ndani natusua,

Mikiki ipi unaisema au umeamua kuzingua? Aah mchizi nishakusoma, ulikua haujajua mzik hauuwez we mtoto wa kusoma,

Vyeti vyote vya freestyle nilikabidhi mitaa, unaicheki hii mistari unabaki unashangaa,

Hapa utapasuka dogo mi sijali kitu, mistari yako hovyo wala haina ishu.
 
Kweli Leo umekamatika, kwa majigambo umetukuka, natamani kukukata, ngebe zako katakata,

Tangu niingie JF nikiwa nataka, siajakutana na kilaza ka wewe, misuli umeshindwa kukaza, sasa umekimbilia kwa wahaya
 
Niko juu sana, silingan na huyo bashite mcee.
Nshawaambia mi gwajima, hivyo na nena kinabii

Dogo kakimbia, nazan dozi kasha tiii
Bogi alivamia, analeta utani wakina kayayii

Lucematic toy, usirudie tena
Naon upo hoi, ukihitaj unapew tena.

Misitari ya kulevya, cheki jinsi unavyo yumba
Ujinga umekuponza, kielemu we kayumba

Kila floo za moto, sijui utagusa wapi
Igiza kama mboto, huku tushakupa rip
 
Kweli Leo umekamatika, kwa majigambo umetukuka, natamani kukukata, ngebe zako katakata,

Tangu niingie JF nikiwa nataka, siajakutana na kilaza ka wewe, misuli umeshindwa kukaza, sasa umekimbilia kwa wahaya
Hahahahaha mzee pumzi ishakata, usijali kazana ukianguka ntakupa kata,

Hapa ushaanza kuandika uchovu, jikaze mtoto wa kiume alishasema Mabovu,

Tia sana vitasa naona unatokwa povu, mtafute Lucematic akuoneshe makovu,

Umekazana unazidi kujileta leta, mistari yangu mitamu cheki inameremeta, yako haikubaliki kama kirusi cha kimeta.
 
we ni mc njaa hadi boxer naimani hadi kwa wana unagongea

beba ukoo mzima ndiyo upambane nami we pimbi haukawii kulia

tena hamnishindi we ni kopo kwa bafu hauna mishe unadandia

ile forum yamakapuku inakuhusu huku ni my empire utamia

mi ni best challenger hapa hakuna anayeweza kunipangua

mwambia dada kesho aje maghetto nataka kumnjunja kuhusu kondom nimemuandalia

na ulivyo mtambo najua lazima utamchana coz mi ndiyo shem lako na dada yako nakufunulia

bora uuze screpa boy dizain ya mabati na masufuria

siku nyingine usivamie camp best mc kama nitakunyea

shika adabu yako kaa kimya unapoona mbabe nimeingia
 
mchafu koga acha uwoga mi ni mwamba we ushaliwa kiboga

nduki nene unazuga kumbe hauna imani unakimbilia kuloga

we chata la ukutani hauna uhai kama pumzi we ni nziga

nanukuu upo roho juu juu kwangu lazima utubu umeshalega

nisha kupa kong fu judo za uso unataamaki kama manka wa kichaga

heri ungekuwa mishi unajilazimisha battle wakati umeshakuwa mzoga
 
upo na utomvu kwa hiyo yako brain na hauwezi competition

hapa ulale uwe macho game halilali inabidi urudi tuition

kwani umeshakuwa kilaza kwangu unachoandika hakina vision

unaruka ruka tu kama kupe hata hauna good position

i told last time we ni kid kitambo umeshafel hii election

mi ni head master mc we ni monitor kwa class natawala hadi madon wa dunia washngton

am so hood men naenjoy kukuona bwana mdogo unavyopata kwa yako brain
 
iko wazi mi ndiyo mtemi na unatetemekeka ukiona nimeingia

jipange sana kushindana nami nisawa na kulikalia jua

mara ooh bi mwenda hauna jipya unachosema kishavunda

hii ni my place kamwe hauwezi nipata nishaibeba hii tenda

upo less we cha pombe kutwa unajileta na propaganda

humu mimi ndiye naye trend we ni sket kama demu tunda

unayumba kid hapa kiwepesi unagika kwenye brenda

usijifariji kama shoga matrina leo nakulaza wima nanakupelekesha zaidi ya punda
 
Yeloo sabhai, mbona leo Utaneng'eneka.
Mzuka wa kimasai, naona umesha anza kutweta.

Humapati dad yangu, maana naskia unasweta.
Umesha ntia uchungu, aisee leo naku keketa.

Diazaini ya twanga, lazima utatapepeta
Demu ako ni moja kanga, hajakusimulia alicha pata.

Nakuwa Kendrick Lamar, nakwambia be humble.
Punguza zako njaa, unaiga kuny kwa tembo.
 
nawachalaza nawalaza we huyo boya mwenzako

shukuru umempata huyo na anakuogopa hata ukimuomba anakupa tako

kila kitu kipo wazi humu mwanzo mwisho mpaka mnahisi nimewahatibia soko

huyo raper muoga amenifurahisha anajibalaguza kupitia mgongo wako

hajui kama mimi ndiye mafia wenu baba yenu niliyetokea mapumziko

na nyie bado nawavesha pamba angalau na nyie muwe mnaonekana kwenye mialiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…