Kichwa pumba profesa Lipumba unatema mashudu,unajitamba una ubongo mkubwa wakati una ufinyu wa mawazo
jipange sana kiukweli kubattle nami hauna vigezo
upo nyuma kwa knoledge unachokiandika kwangu uozo
we ni kifafa kwa red carpet umepitwa na wakati kams H.mbizo
hapa ni wiggle wiggle we ni zigo zigo ushakufa kwa huu mchezo
uliza east n west side who am i watakupa muongozo
unajitahidi kuchonga kumbe ndiyo unazidi kuboronga hauna uwezoView attachment 499723
are u seriously kid eti is your crown are stupid endelea kujifurahishaDogo pumzi ishakata kila kitu utamaliza, mara kuchana mara kuimba mi nazidi kukuumiza,
Mistari migumu itaendelea kukuliza, umepotea umenikuta na akili zangu za giza,
Hii crown ni ya kwangu na nnazidi kukimbiza, wachumba kama nyinyi nazidi kuwaburuza,
Mistari hevi punch nzito nazidi kukaza, ukipata upenyo toka mbio na uache kuniwaza.
Nilifikiri ushakoma matusi ila haina noma,kichwa changu chimbo tosha sura kama bi kidude mmefanana mule mule
ukiona kimya nipo offline nachokuchana ni papo kwa hapo ushanisoma we ngedele
hapa nakuchapa knock out bila huruma live unatumbuka majipu najua hauna mapele
i know unanihofia ninja siishiwi nipo stoper kwa kwenda mbele
unapakatwa kama mrembo haunajipya ushasinyaa kama pamba za afande sele
R.I.P BI KIDUDE
View attachment 499725
hakuna ujinga kama kujifariji kwenye vumbiNatia tofa baada ya tofa kila ukitikisa mguu,
Top C wake ulofa we kimbia ka Babuu,
Hamna wa kupinga nainua ushindi juu,
Baada ya hiki kipigo ukionewa wewe niite,
Nimefuzu kwa kila kitu hapa ni freestyle kumite,
Hamna wa kunihoji wala kunifanya nisite,
Naendelea kukupa dozi we mc mwenyewe Bashite.
eti unajiita mdudu kwenye ubinadamu kweli we ni zero brainKichwa pumba profesa Lipumba unatema mashudu,
Mpinzani punga piga ukunga umenikuta mdudu,
Ruka ruka iga tembo utapasuka mkund*,
Unga unga upate vina badae utanihusudu,
Niquote sana utafute jina gharama yake ududu.
Mistari yako haina vina wala haina mizani, hapa naishangaa hiyo jeuri ya kuniita mezani,are u seriously kid eti is your crown are stupid endelea kujifurahisha
we ni kama mrembo leo una kuja five way down hauna maisha
unajifunza kuspeechless huu ni zaidi moto usijaribu kukinukisha wakati haujui kukiwasha
mi ndiyo hero man himself nakubattle hadharani we ni mwali ila washakushesha
unajipa moyo upo juani mi nipo kwa kivuli we ni big unajichosha
upo ki andaground sana unahitaj more skills mpaka uje kuwa mimi umri utakuwa kwako umekwisha
we ni bosheni ama kopo nakuona kwa hii thread umejiegesha[emoji111] View attachment 499727
Unaandika mistari na mada zisizoendana, nimeshakuchanganya umeanza kutafutana,hakuna ujinga kama kujifariji kwenye vumbi
mchana mwanga usiku utanyea kambi
kweli siku hizi michano hakuna wanaflow hadi mapimbi
unataka kuuwa game kamwe hauwezi we ni kumbikumbi
kuna wenyewe wakina sisi since way back day le unashindia tambi
bado yank cha ajabu unakuja kwa thread unajipa ushidi labda ushindi wa kitambi
unaujingavumeshakutawala unaninyenyekekea mpaka unaleta vitimbi
mara perfect kombo mara ooh mistar yako haina vinaMistari yako haina vina wala haina mizani, hapa naishangaa hiyo jeuri ya kuniita mezani,
Unaandika hovyo kama kapita bata, mistari ya kitoto na wenzako walifyata,
Unaleta undorobo mbele ya gangsta rapa, nimevaa usongo sikupi tena kipaza,
Hiyo Mistari robo kelele tani mia, nakuchapa na perfect combo mwenyewe utakimbia.
Ni kweli mdudu na unajua hebu acha kuzuga,eti unajiita mdudu kwenye ubinadamu kweli we ni zero brain
kama ni boxer leo imekuwa haibu ndondi kwako siku hizi unavaa bikini
kuhusu wew mnenguaji mfa maji hauna upepo inavidi upekekwe jandoni
soon utakuwa mcheza segere na utafungwa kanga kiunoni
mi ndiye yule iron king we mdebwedo hauna fact kama demu wa porini
kamwe haunipati na change gia speed bugat we colora hauuwezi ushindani
trip zangu far way kutalii popote nipo we kimsitu si bushmen
Acha kuonea dagaa.. njoo kwa wahuni tukupoteze kwenye mitaa.. tunaandika kwa kichwa, na ukika vibaya unafichwa.. nakula paja ila sikisahau kichwa.. Huna cha kusema Mc chura.. Kelele zako za kibisho.. Haziniyimi usingizi Mc Tembo a.k.a hadkoo.. Nakupiga mapigo ya kimbo slice ebwana mi ni soo.. Unda jeshi mje mob.. Peke yako huniwezi labda ukinifanyia blow job..Unaandika mistari na mada zisizoendana, nimeshakuchanganya umeanza kutafutana,
Kilio chako ililie Chato kama Remi na Mwanza, bando lako ujinga wako umejileta nakukaza,
Ukiiona hi id kumbuka ilivyokufanya, siku 3 mfululizo wenzako wanahanya.
Umeanzisha matusi mara ghafla unaogopa,mara perfect kombo mara ooh mistar yako haina vina
sitaki kukupa somo nakupa vina mwisho sawa mama angelina
nimegundua uandishi hauujui we ni kilaza front page ndyo maana hauna maana
kati wew yupi bora kwa misimgi kimisingi uwezo we kimwana
unaandikiwa kiuwepesi hata macho hayaoni kweli unatabia za kisichana
mi ni ngome ubongo wangu umekusanya vingi hii ni battle naona unaogopa haukawii kutukana
kama umezoea kupimp face basi we ni mrembo welcome to my hood nikufundishe kuchana
Mkate wangu mtamu kila nikiupaka kimbo,Acha kuonea dagaa.. njoo kwa wahuni tukupoteze kwenye mitaa.. tunaandika kwa kichwa, na ukika vibaya unafichwa.. nakula paja ila sikisahau kichwa.. Huna cha kusema Mc chura.. Kelele zako za kibisho.. Haziniyimi usingizi Mc Tembo a.k.a hadkoo.. Nakupiga mapigo ya kimbo slice ebwana mi ni soo.. Unda jeshi mje mob.. Peke yako huniwezi labda ukinifanyia blow job..
Mapigo matakatifu mizuka ikipanda.. Cheza segere cheza mchiriku ni hii Hip Hop lazima utasanda..
Show imeshakua ngumu umeenda kutafuta tagi,mara perfect kombo mara ooh mistar yako haina vina
sitaki kukupa somo nakupa vina mwisho sawa mama angelina
nimegundua uandishi hauujui we ni kilaza front page ndyo maana hauna maana
kati wew yupi bora kwa misimgi kimisingi uwezo we kimwana
unaandikiwa kiuwepesi hata macho hayaoni kweli unatabia za kisichana
mi ni ngome ubongo wangu umekusanya vingi hii ni battle naona unaogopa haukawii kutukana
kama umezoea kupimp face basi we ni mrembo welcome to my hood nikufundishe kuchana
kaa pembeni we ni mpambe kavae dila level zako ni mage kimambiNi kweli mdudu na unajua hebu acha kuzuga,
Hii show kali nawatia virungu nyie waluga luga,
Kipigo hevi daily wenzio wakachanja mbuga, na we ni mchumba mwingine jiandae kuaga,
Mistari hevi imekulevya kama balimi lager, na ni kweli mi ni boxa njoo tupange spaga.
tatizo unaubongo wa mnato full minyato kichwani kwako memory card error haisomiUmeanzisha matusi mara ghafla unaogopa,
Umeamua kuja na mipasho ya hadija kopa,
Huu utumbo unaoandika nimegundua wewe siyo mzima, kujiongelesha kwingi kama methusela gwajima,
Hapa utatulia na hizo fegi utazima,
Dogo kuchana hujui bora urudi kulima,
Umejidanganya kunivaga ungeanza kupima,
No more drama muuhfucka am the winner
naona unajitahidi kutafuta kwangu CVShow imeshakua ngumu umeenda kutafuta tagi,
Waambie Castr ana bonge la vag, mistar yako myepes haijai hata jagi,
Mkija mjiandae sio ukiibuka unabak kuwasha fulu, nijue vizuri mi ndo mfalme wa mitindo huru
Emcee unabahat umekuja wakat nime lala.Narudi ulingoni tena kwa mala ya pili round hii nakuchapa k.o ili ukiri/mi ni zaid yako mwenyew unatii level zangu kufka lazma upge bidii/nakuacha na bp next tyme ntakuua kwa tb...nigger huwez bifu mtaani naitwa chifu/kajiunge na chibu warembo uwaxifu..apa ni..[emoji379] [emoji95] [emoji95]
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Narudi ulingoni tena kwa mala ya pili round hii nakuchapa k.o ili ukiri/mi ni zaid yako mwenyew unatii level zangu kufka lazma upge bidii/nakuacha na bp next tyme ntakuua kwa tb...nigger huwez bifu mtaani naitwa chifu/kajiunge na chibu warembo uwaxifu..apa ni..[emoji379] [emoji95] [emoji95]
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Narudi ulingoni tena kwa mala ya pili round hii nakuchapa k.o ili ukiri/mi ni zaid yako mwenyew unatii level zangu kufka lazma upge bidii/nakuacha na bp next tyme ntakuua kwa tb...nigger huwez bifu mtaani naitwa chifu/kajiunge na chibu warembo uwaxifu..apa ni..[emoji379] [emoji95] [emoji95]
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Huyo nimekuachia maana siyo target yangu.Nilifikiri ushakoma matusi ila haina noma,
Hata huku haunigusi moto wake utakoma,
Lusematic we mchumba ntakuteka ka Roma,
Gheto ntachokufanya kurud kwenu utagoma,
Boniuso ana wivu mwambie ataisoma,
Castr natamba ndo nimeshashiklia goma,
Malavi davi high clas wenye wivu wapate homa,
Usisikize maneo ya watu roho zinawachoma, wakiona unatanuka roho zinawauma, hawajui mzigo wangu ndiyo unakujaza nyuma.
Basi usijali mami nitamalizia mdomoni, msione wivu washkaji Salio lenu halisomi,...
Nadhani nishakutoa ushamba siku nyingine uwe unamalizia mdomoni
.....
Dogo umetegea nilale urudi uanze kutamba, kwa hilo ushafeli tayari nishakubamba,kaa pembeni we ni mpambe kavae dila level zako ni mage kimambi
upo town lakini bado kikolo sura kama umetoka sitimbi
hivi ni vitu kuntu we gamba kutwa nzima umeshindia mbilimbi
kwa face unaiogopa mtoto wa mamahapa kamwe hautambi
we ni kula kulala mpaka leo pot mezani kumbe bado we ni pimbi
unavamiaga mitungi ukilewa unakuwa bwege mtaani kuyumba sikia maninja hatuyumbi
umelegea upo rojo kiasi cha kwamba hata kwenye football tunakuhurumia kukupiga bambi
najua kabisa upo teke haujakomaa unachotegemea over time ili upigiwe filimbi