JF Hip-hop frestyle battle

I got skills Catskill kwa Tyson, mistari yako mifupi hebu ivalishe raizoni

Hit till I kill nagrind toka asubuh mpaka jioni,

Usinshobokee ntakuteka kama mchizi Roma na Moni,

Flow safi unazifeel I see you moaning, ntagandia hapo hapo mpaka 6 in the morning,

Keep doin ya shit you the sucker in the making,

Thamani yako ni shit ngoja nikuweke pending.
 
We mzee vip, mbona unaleta ushamba.
Verse za ku unga unga kama nyuzi za shanga.

Huu uzi haukufai, rudi kwenu kolomije.
Unatuletea mapicha picha, umechunda unaseje.

Najua unanyege zakujibu, we njoo tu.
Ila sitojar una aibu, mi ntakuchana tu.



Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
my girlfrnd is gumiho STREET ANTHEM
hakuna asiyejua nipo nae kama speed demon
sivungi ni ginuin
nikitoboa mpira sikojoi namwaga chini
mwenye mimba aende nayo me ndio kende lenye bao[emoji16] (songa)
nnaflow incredibly ka ilmatics na skuhiz hatuli kwako
hatuli zao
dem wangu dadayako so nakula uzao
wimbo wa mtaa nakupiga nao
ukiwa sober me ndio therapist kama china mao
nawakuna now
flow albino flani nakuchuna ka mau mau
fundi la kigiriki ka samata na genk
kundi lako la mabint zaid ya wema na benk
hii team tata dem mwema haudek
ukidek bhas ziwa ndio jeki kudadadeq
nakulenga na bynocular mpaka jicho
me ndio dume kaptula suruali haipo
mtoto unadimpoz
ukicheka jf nzima tunashiba ma thought
ukitaka kunijua jina muulize beast boot
nasimama wima zaid ya gwajima niite bishop
 
Jf stand up!..
Bigmind niko hewani/
soon nitakuwa ziarani/
Siogopi kutekwa wala kutiwa kuzuizini/
Akili kubwa niko mbelembele/
Daima nasoga mbele/
JF come on! Stand up again. Tararaah..! Tarararas!...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
pending nakua peding nakuvesha kwenye siku zako
u cant kill me dawg jiandae kwa style so lot
nivae nikuveshe kanzu bila pants
wananiita dudu killer nasurvive big giant
big dirty
mchafu wa wachafu i know nothing about colget
west get level zako bilnas huwez bang that shit
nakulamba na engachif rest ben my twin
me ni king sio kibamia kaa beside my queen
tucheze salsa huku unashika mshale ka oliver quin
ukiuvuta nivute kwako tujirushe last seen
 
Mida hii siko lonely alone/niko geto na bitch anonymous gettoni/mtoto ana kata mauno hadi najihis peponi/anonymous mrembo wa Kiafrica/akitembea nyodo chuchu ni saa sita/akivaa modo nyuma msambwanda unakatika/japo anonymous anapenda nimle tigo/ila me sipendi mavi japo nadata na wigowiggle/kitandani mashalaah anacheeza kila style/kata km tyre anapenda noti ila kakutana na kaka bahili/mapishi ndo usipime kwa mtoto anonymous/viungo hadi vya tarime akipika wali nazi/ nataka nimtambulish kwa wazazi/hata nikimpa mimba asije kuleta shazi/japo kichwa mandazi
 
Nina hasira wananiquote matozi, freestyle hawawezi wanaandika upuuzi,

Nacheki mistari yako nacheka, mzee unachoandika hakieleweki unateseka,

Kutafuta vina ili uje kuniweza, mistari ya kibibi kama mama Thereza,

Wenzako wamenikimbia tayari wameshajiongeza, hiyo mistari unayokaza ona ninavyoilegeza,

Mwendo wako wa Passo haunikuti mimi altezza.
 
hahahahahaa
katoka nje ya beat wana oy haskiki
nimemficha bigbooty AKA BIG TIT
i like de way una shake ur ass my beauty
ukisimama me nasimamisha no gulty
hata ndogo ntakula ni usualy suspectin
ant give a damn on u
no shame my buh
nikizama narud na salt usibane miguu
tiktaka naflow za kamasuntra
wana macho chini hawaskii hata beat ya sjamoker
haijatosha
ukiwa na mm sidhani kama nitatoka
coz unanikosha
the way u make me feel ah mike joka
nikitoka natapika ka nna hangover
baby tulia kama knowles beyons me ndio hova
epuka chenga za wadwanz me ndio okocha
nawapiga nane bila ila kwako tisa tisa[emoji16][emoji16]

USIPOLIA UNA MOYO MGUMU WA KUSUKUMA POST
ME NNA MOYO MLAini Tena unashitua kijoti
nipo radhi uniue nipige hata makofi
sio kwa uzuri wako nje ngoz mfupa ndani BAMBAKOFI
 
Mwili nyumba wanasema me ni mdogo/ kwa ujuzi kichwan wanasema me ni fogo/
 
Nimechoka kuwa nawe we bitch/kibaya hauridhiki na unagawa kila streat/Na nishakwambia hakuna kutimba home/ushatatuliwa marinda ukijamba km Thunder storm/kila msela unataka akupe mic/nishakutoa meno kwa kuzidisha love bites/kama bundi na unajiuza kila night/we ni killer tena parasite/
 
Inna sasa ndio nini kipenzi.? Au una mpango wa kunianzishia thread kabisa kunijibu
Baba umetunga mistari halafu mdada amekausha,

Mti mgumu wa msonobari kaza labda utauangusha,

Inna ona noma hebu acha kujizungusha,

Saint Ivuga kakukubali anataka uwe mamushka,

Mwana anataka mfunge ndoa fanya kumpa ruksa,

Unga ushemeji na Daby mkakutane Arusha.
 
Oyoo castr mike chek kijana,
Inna namuelewa sana na jana,
Mtoto hana makiu na hali ujana,
Sina papara wana husna,
Nitamuweka kwangu kwa idhini ya maulana.
Inna usikae kimya Ivuga naumiaaaa.
 
Oyoo castr mike chek kijana,
Inna namuelewa sana na jana,
Mtoto hana makiu na hali ujana,
Sina papara wana husna,
Nitamuweka kwangu kwa idhini ya maulana.
Inna usikae kimya Ivuga naumiaaaa.
Inna wanafreestyle wote tunataka ushemeji nawe,

Mpe moyo Ivuga akutreat kimalkia upagawe,

Treatment first class shemela hautajuta,

Mfate hata pm acha kujivuta vuta, utamu mwingi mwingi mpka utaruka ruka,

Baadaye utajiuliza mbona hamkjuana mapema,

Mahondaw na Smart ni mfano mwingine mwema,

Ukikubali fasta tunakuja kwa wazaa chema, wana tunajua Inna ndiye chanda chema,

Ivuga visha pete huyo ndiye mke mwema.
 
Tisini unaumiliki mchezo
Refa kipulizo /

Mwenzako anapewa tuzo
Unabaki na viulizo
Au pengine huna uwezo! /

Mafanikio uwezo
Sio misingi wala nguzo/

Hilo Funzo
Sanaa sio chandarua bro haina hati punguzo/

Ona unaenda booth upo solo
Unafight unatoa single/

Mara unakosa promo
Unaanza Diss mara joh mara domo/

Skia maisha ni saana
Usanifu Ubunifu ndiyo kipimo wee jamaa/

Na pia wenye tifu na bifu wanauguza majerahaa/

So mziki biashara bro/
Leo wenzako wanautembeza kariakoo/

Wa misingi fanya yako/
Harakati kivyako/

Ona mi nakaza nacross boda na namake more doo/
Daby
 
Daby muinge huyu kamanda bando la mwezi
 
bosheni si ndipo ulipoishia mazee hauna kitu bishoo ni bora think twice siyo level zako


ushazoea vaa tetemente mi gun mashine bwana mdogo nakubi k mpaka unapoteza soko


unabebwa unalelewa bado mtoto mpaka udenda na mikojo inakutoka kwenye pot kujaza mafuriko

next time nitakuvesha wigi na skuna uweze kupendeza mama sita nikupeleke mexiko


you how i do girl i will marry u kwa flow kwenye boti vip uku mnyamwezi nikivuta kiko


hauna uwezo am your bro since ushow your verse nikacheka kwa dharau na leo nakubatiza jina nitakuita sokomoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…