unapaswa ujue humu sinaga mshindaniTazama unavyo ghani, huna uzito kwangu unaelea
huna vina wala mzani, nahisi kama nakuonea
Mi' ni gwiji kwenye fani, dah! ni vipi utaponea
ulinijaribu kama utani, ona sasa unapata fedhea
Kajinoe urudi tenaNgoja nbaki obsever maana sion level zangu humu
Hahah unataka mapambano, kupanga vina huweziunapaswa ujue humu sinaga mshindani
wengi mnasarenda , pind niwapo mchezon
napo wakalisha nyie mafeki,weng huic kama utan
Ila nasomeka vyema navyo kuchapa tu key board
Yap
hahahaaa u know nothing im de bilingual beastNasoma lyrics nacheka kijana una hatari,
Umeingia kwa mzuka unazuga hii ni freestyle,
Hizi ni pattern za kuandika mtindo huru hauwezi,
Kaa pembeni jifunze tutazame wabobezi,
shakespear me ni wiliam don ka JAZZAhaahhhaaa nacheka kwa dharau/nakuteka na kufyeka JF ikusahau/nyang'au hujui kuchana unajua kusuka/nikifanya stanza ninapanda we unashuka/kurupuka uvalishwe kanga au nikufanye nyama kwa bucha/ me ndo Kidume nilioquote huo uzi/ wa mistari iliyolost na flow ya kipuuzi/huwezi rap mkuuzi akili kimo cha mbuzi/ badili sababu asili yako ni blues/am right here without fear,bi*ch come near/nikupeleke unakostahili kwa wacksphere,me ndo nakukeketa kwa shakspear/snitch is that clear
hii level nyingne dawg... safi sana kama kuna vtu umevielewa...HIZO NI BARSHahah hapa nimeelewa tu unaishi Chicago
Umemrusha marehemu Kimbo slice
Bila kuwasahau River camp soldiers na baba yao Ras Omega
Wacha nimskilize hapa Kendrick ..Be humble,Sit down
Nimecheka sana mashairi ya humu
tanx much niggauna flow nzuri ila jitahidi kuwa na mtiririko wa mawazo unaoeleweka na kutumia maneno yenye maana utatisha sana, usiwe na mtindo m1 tu wa uwasilishaji. ushauri tu!
HahahNakubali Ma-MCEE
ila Mitindo Huru yenu inanifurahisha sana hasa ninapoona vina kati na mwisho... Let's go Off-Top Mazee
Hakuna Mc wa kushindana nami...
kina kirefu niite mto wami...
sio mansu Li au weusi wa lami...
Mc panga hoja acha vihoja na ndio maana wengi ni ngojangoja...
tambua mm ni mia na we Castr ni sifuri wala sio moja...
Unataka zawadi kuchana hujui unachana kwa midadi..
Daby ukitoa zawadi basi we ni fisadi...
huu ni utamaduni weka pembeni mapenzi tanguliza itikadi..
Misimamo ya kigumu.. niitieni titimunda aniwashie ndumu..
Ok ok naona umeamua kuyavagaa ungetulia huko huko kama kuku anayetaga,hahahaaa u know nothing im de bilingual beast
naflow bastin na nnachinja kila beat
kila wik me ni pila dirty
nachafua weupe i know nothng about dig deep
manicah nna story za panzi nakupanda na mabawa
nna hasira kinazi nakuvunja unapagawa
me ni mzawa
toka enz za m4c
bi kidawa kaa mbali huiwez fasihi
huiwez jamii
me ni master nafunika mpaka tai chi
mpaka bruce lee
mchawi na talismen we bracelets
shika adabu ukimes na anonymous
navunja mbavu kwa ugoko sio ka idris
me sultan kitambo kama ibilis
ni trojana natoka ka pyramid
fix
dizzy
im de pain killer most emcee ka streep na brizy
enomike na mizizi
teja na therapist
makonda na majeshi
me ni saut ya kikos
nawika mpaka joshi
nawaosha kwa kwikwi
mnaodandia kwa mbiz
time ya flow
gun itadrop
flani ka jogoo
im de image u gat me bro??
HahaYap yap yap
Mimi ni Yule team kiduku
Tutawanyonyoa USA kikuku
Daby Njoo na huku
Nikuoneshe mashair y SR
Viboom vya Zamani
Sisi vipya hatutaki utani
Walahi tuko machinjioni
Niwaonesheni mashairi ya RB
Kama vidume anzeni
Sisi tutamalizeni
Tuwaoneshe Huku kunani
Mkali Mwenye uandishi WA ki SR
Huyo utambaka..Ok ok naona umeamua kuyavagaa ungetulia huko huko kama kuku anayetaga,
Umeingia mbio mbio kama mlevi wa safari laga,
Mistar so poor haimpati hata miss chagga,
Kwakua umejileta haina noma nakulaga,
Show bado hazijaisha endelea kujifunza swaga,
Unatumia siku 3 kufikiria cha kinijibu, hauko levo yangu hivi kweli huoni aibu?
Ubishoo mwingi mistari hovyo kama virasta vya Chibu,
Tia sana vitasa siku nyingine usinijaribu, kila ukiniona toa sura ntakuharibu,
Umekuja wima wima ona sasa umekaa, kwenye freestyle wewe bado ndiyo kwanza unatambaa.
oyoooooooooooooooo una bonge la muhogo ila huna pesa ,Huyo utambaka.. Njoo kwa Mimi kaka wa makaka.. nina Uhuru pia madaraka.. JF ma-snitch wengine motherfacka.. sikulazii damu.. nakula ndogo ukinipa kubwa naskia utamu.. napiga voda napiga pia tigo.. we kidenti subiri nikuvushe wigo.. mwambie miss chagga nina bonge la muhogo.. ariff Leo watakukana.. twende kote ruksa kutukana.. tukana kijanja usitukane hadharani.. Mkuu Invisible atakupiga Ban.. Kama nimekukosea basi samahani
Ha ha ha..oyoooooooooooooooo una bonge la muhogo ila huna pesa ,
we ni mzigo kama mizigo mingene
kama vipi nipotezee
ha hahahhaahaHa ha ha..
Umekuja kushona kama kawaida yako MamiLooh..
UwiiiiHaha
Sauti ipae
ipasue mawingu/
Umenifanya nisikae
nimesimama na Rungu /
Leo mpaka tasa azae
Nina makuu wananiita jungu/
Kuboom kubaaam kubabae
Kiti nimekikalia kama zungu/
Hivi wewe wa mzumbe mkuu!Uwiiii
Kwanza kuwa muwazi
Au Uko Ile team yawashenz
Wanaosema walijuwepo enzi
Sisi tanasema hatutaki undezi
Tunajua kishenzi
Hata wenzao walishasema hawatuwezi
Daby Hebu nikumbuke kimweli
Uliye muacha mkavu ka reli
Nunua Hata penseli
Au Hata bikali
Utakuwa Wa afadhali
Nakukumbusha mfate kimweli
Au nimekosea mnyama
Kukumbusha ya mama
Ila jua kuna kiama
Utakuja jibu lazima
Nakusihi mfate kimweli
Nb:kimweli ni hosteli mzumbe