Hahahaha naona umerudi tena, dozi ilikua heavy umekuja jiuliza vyema,Now u nigga una press the wrong buttn,
Hate war bt ukianzsh i wnt back down,
U bring knife katika gun fight,
Machoz yana kutoka unataka fair treatment!
Ntakupiga karatee na stail zisizo eleweka,
Ukose hata saut ya kulia kama mbwa huanze kubweka,
Mwanangu umerudi na vina vya kuunga unga,Jumba la sinema we kanumba? Mi ni jumba Hip Hop sio Rhumba.. Cheka na mm.. kinachofata utanyonywa ndimi.. Niko chimbo.. Karibu nikupige fimbo..
Moja moto moja baridi.. Nisipokunywa nyagi naponea balimi.. Huniwezi hunishiki.. Niendako mbali na bado sifiki.. Mtt wa kiume no ww sio geez mabovu.. Huwezi kuchana ukichana unachana kichovu.. we ni tatizo basi acha niku-solveMwanangu umerudi na vina vya kuunga unga,
Mi mtoto wa kiume ukinyonya ndimi uwe unatak kuliwa tunda,
Matunda tena hatuli si tunaska mavumba, kua bize kuniquote na mistar iliyovunda,
Nakuminya koo acha kupiga ukunga, mi mzito huniwez nakushauri vunga,
Freestyle imevamiwa kaivamia mlevi,Moja moto moja baridi.. Nisipokunywa nyagi naponea balimi.. Huniwezi hunishiki.. Niendako mbali na bado sifiki.. Mtt wa kiume no ww sio geez mabovu.. Huwezi kuchana ukichana unachana kichovu.. we ni tatizo basi acha niku-solve
Bob umezingua umejiona unaweza sana,Mamcs nawachia kisogo
Nipo mbio mithili ya veneno/
Kwangu Hampumui hata kidogo
Nawashona midomo mpunguze maneno/
Daby sio kibamia namiliki muhogo
Mnahaha ona pm mnatumiana vimemo/
Mnashuka daraja
mpo ligi ndogo/
Mi ntawavunja mataya
Na hasira ka mbogo/
Nenda kamuulize Asprin
Wote mpaka STUNTER/
Ninamaono zaidi Darubin
Ila nyie mpaka mpigwe stata/
Sijisifii ona navyodondoka
Napasua ardhi mithili thunderstorm/
Sisikii ushawishi wa kumoker
Jiwe linaloishi wananiita livingstone/
Mi ndiyo Rapgod wa Forum
Nipo hapa AM mpaka PM/
Jukwaani natia foraa
Binti ukinihitaji nifuate PM/
Mambo mengine ya siri
So Sihitaji maswali juu ya hili/
Ni kuchoshana tuu akili
Sawa na Miss Natafuta kuanzisha thread ya bill/
Fake mc's wanatii kila pepo/nashangaa wakibleed kila battle/nikiwa me and I ntafanikiwa kuona kesho/nikifree style nina free kila central/mademu zao wakipee bila nyeto/maza kanambia be gentle/si act ninaperfom hadi rehearsal/na hii ndo real hustle/wanashanga ninasweat nikimake hii lesoMamcs nawachia kisogo
Nipo mbio mithili ya veneno/
Kwangu Hampumui hata kidogo
Nawashona midomo mpunguze maneno/
Daby sio kibamia namiliki muhogo
Mnahaha ona pm mnatumiana vimemo/
Mnashuka daraja
mpo ligi ndogo/
Mi ntawavunja mataya
Na hasira ka mbogo/
Nenda kamuulize Asprin
Wote mpaka STUNTER/
Ninamaono zaidi Darubin
Ila nyie mpaka mpigwe stata/
Sijisifii ona navyodondoka
Napasua ardhi mithili thunderstorm/
Sisikii ushawishi wa kumoker
Jiwe linaloishi wananiita livingstone/
Mi ndiyo Rapgod wa Forum
Nipo hapa AM mpaka PM/
Jukwaani natia foraa
Binti ukinihitaji nifuate PM/
Mambo mengine ya siri
So Sihitaji maswali juu ya hili/
Ni kuchoshana tuu akili
Sawa na Miss Natafuta kuanzisha thread ya bill/
Na score ma goal easy , mtaani naitwa cr seven24/7 sober hata nikilala liquor store /flow is dope jaribu kumuuliza your sister bro/nawafunika nikipita no obstacle/nawamurder ndani hadi external/huku nikiwaburn zaidi inferno/me ni king you neverknow/pimbi hujui misingi you think irrational/worldwide flow pia ni Anthem ndani ya nation/nakufikisha kila kilele bila kelele/huku nikihakikisha nashika kila kipele/huwezi kuwika kama niko ndani ya banda/labda utanitamanisha kama tako ndani ya kanga/nikipanda no blunder mabao nitafyatua kama vina ndani ya stanza
Who is a fake mc?/
Just speak true na sio Ku dis/
And who are you to judge?/
Tell me why coz I'm angry/
Usiongee vitu vyenye huvijui/
Tangu lini tangu Lin katambili ikapigwa kiwi?/
Unatafuta kiama nikuzike hai/uwezi kushindana we kijana nitakufanya dry/uliza navolipuk km september eleven/ninja zaidi ya seven/me ndo pele usinitishe na huyo CR seven/unasema unachek Ben ten we kirikuu/ panua miguu uone navyokill true/me niko juu we upo chini kama soks/mistari yangu dope siyo yako we kichwa box/ushalost uwezi kubato na mimi/mtoto mdogo matako laini/nakufanyia FGM nakata kisimi/nawapa madini mpaka unadata na mimiNa score ma goal easy , mtaani naitwa cr seven
Floo zako zakipimbi, c bora nikachek ben ten
Nina magnetic floo, lazim utavutika unijibu
Ila nanuka ka choo, ukinisogelea umeharibu
Una floo nzur, sema mawazo ndio mgando.
Nini kisu cha bucha, mie ninach mpka cha jando .
We bishoo unae ibuka , slow down ucje kwa pupaBange nakamata, nakohoa roho inapoa
Mvumbo ni Basata, madogo nawakosoa
naja mwenyewe master, na mbinu za kuwanoa
maana wanashuka faster, kama chupi ya changudoa
Unakuja bila chupi kimgongo, kisa vilainishi wamevikatazaWe bishoo unae ibuka , slow down ucje kwa pupa
Lines zako hazina hisia ka sanamu lakuchonga
Nakuona una mawenge, tuliza bol ucwe ka shoga
Mwenye thron ,nakupa habar, ucje sema sikukwambia
Yaaaap!
Stil nakuona young ,unaongozwa na kichwa chiniUnakuja bila chupi kimgongo, kisa vilainishi wamevikataza
haya ni majaribu kama Nyamongo, mgodini nitakukaza
naskia unakata kama mkongo, ila si Jakaya kakataza
ila nitakupa miti bila kinyongo, na kwa wana sitatangaza
naingia vitani kiarabu, japo najua haifai
unasema Mvumbo nisipate tabu, nikupake unayo ky
unatambua walugaluga, kwenye game wananiita kigogo
na Battle na mimi unazuga, ili nikukonyeze unipe ndogo
Tazama unavyo ghani, huna uzito kwangu unaeleaStil nakuona young ,unaongozwa na kichwa chini
Ndo maana line zako, nikama unapigwa miti
ukijileta ,hapa utapigwa mimba
atakama upo safe day
Naidistable hyo cycle, unakua safe all day baby
Yeaaaaaaaaah!