Unatak bato hata hujui maan ya ban??Acha utani aisee!!!
Sema nini hebu naomba uniambie mtu akipigwa ban anaweza kulog in ila akakuta ndiyo kapigwa ban au inakuaje.
Simaanishi wewe ni mzoefu wa ban mkuu
hAhahahRafiki msema kweli ni mpenzi wa Mungu,hivi kweli ukhuty ni mtu wa kuijua au kuipenda hiphop kweli??
Na spit madini ghali lugha kali nakimbiliwa na ban,
Naikwepa fasta kama miss chagga kwa broke man,
Nacheki hiyo mikwara naipangua naruka mpaka ndani,
Nimejaa tele Michael Joshua nakungoja nikupe freestyle burns,
Dude una spit nin unaongea kitu gan?
Umewajuza wako hadhil nin maan ya bani?
Ngoja nkuonyesh tunavyo fany ma gentlemn
Naanzaj kumsf aliye bun Ban,
Kwa wanao jiuliza ban ni kitu gan
Ni kufngo kam kil cha urain
Kupnguz matus n bif jukwaani
Pia inaongez busara na umakin
Na conctretion kweny mada mezani
Let stress zak za nyumban unakul ban
Demu kakotosa unatoa pov unakul ban
Nenda jukwaa la sias mdis Bashite ule Ban, hahaha ni huuu ni utani
Kwa kifup hii kitu hain mwenyw
Cheza na mods wakugombanie kam sandakalawe
Una kumbuk fikz za Supu ya mawe?
Unaguna nini?? muoneee unampangia Muumba
Utalog in kama kawa ila huwezi kuingia jukwaani kuchangia chochoteAcha utani aisee!!!
Sema nini hebu naomba uniambie mtu akipigwa ban anaweza kulog in ila akakuta ndiyo kapigwa ban au inakuaje.
Simaanishi wewe ni mzoefu wa ban mkuu
aisee hilo darasa lenu naona limefanya kazi vizuri macho mnatuumizaUnaguna nini?? muoneee unampangia Muumba
Hahahaha naona mkuu kama Mpoto umeamua kughani,Unatak bato hata hujui maan ya ban??
Ni kweli unatoka mbele na kujiita fanani?
Hebu tazama post ya juu uone nimesem nini.
Unaumiaje macho sasa wakati umepigilia ma glass mubasharaaaaaisee hilo darasa lenu naona limefanya kazi vizuri macho mnatuumiza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe kwa hiyo kelele ni shabiki hauwezi kuwa msanii
Haha... wana wanabattle ngoja wamalizie round ya mwisho tuwapigie kura.Japo nimechelewa kufika kwenye ulingo... Mwabidi kuelewa namna gani nina usongo... Mimi ni kama mgema ukinisifia namwaga pombe... hivyo nataka sema kamwe usin'letee upambe... Sina jina kubwa kama la mshkaji Daby... Vicheche kuwang'oa ili waje wanite baby... I'm JF-Expert Member all the way... And nobody can reach attention that I pay!!!
We unae jiita ze best kesho na batle naww leo nakuacha ufanye reharsal na vilaza wenzioAcha utani aisee!!!
Sema nini hebu naomba uniambie mtu akipigwa ban anaweza kulog in ila akakuta ndiyo kapigwa ban au inakuaje.
Simaanishi wewe ni mzoefu wa ban mkuu
I can't imagine ukhuty akichana mistari ya hiphop!!!πππhAhahah
Naanza kwa Vina Akili yangu deep kama Kim Jong unaisee hilo darasa lenu naona limefanya kazi vizuri macho mnatuumiza
Acha mkwara/hizo xx zako badala ya s zitakukosesha point
Hahaha kama mpoto??Hahahaha naona mkuu kama Mpoto umeamua kughani,
Umeandika mistari hovyo unastahili hiyo ban,
Freestylin moto kajifiche chumbani
Asubuhi na mapema nazama kati jf,Dude una spit nin unaongea kitu gan?
Umewajuza wako hadhil nin maan ya bani?
Ngoja nkuonyesh tunavyo fany ma gentlemn
Naanzaj kumsf aliye bun Ban,
Kwa wanao jiuliza ban ni kitu gan
Ni kufngo kam kil cha urain
Kupnguz matus n bif jukwaani
Pia inaongez busara na umakin
Na conctretion kweny mada mezani
Let stress zak za nyumban unakul ban
Demu kakotosa unatoa pov unakul ban
Nenda jukwaa la sias mdis Bashite ule Ban, hahaha ni huuu ni utani
Kwa kifup hii kitu hain mwenyw
Cheza na mods wakugombanie kam sandakalawe
Una kumbuk fikz za Supu ya mawe?