Hahahaha umeniweka swahiba katik wrk out.......let me see what he got..Michael kakimbia tena...haha nyie jamaa mnaogopana.. ok nyie wawili nendeni topic ni Ban . Round mbili mbili. Castr anaanza then unafuata
ShukranAnd you ukhuty.
Castr mtoto wamamaMichael joshua mchumba katamba kaniona kakimbia,
Hao ndo watoto wa kishua Suma G alituhadithia,
Freestyle nazitusua zinaanguka mia mia,
Sugua gaga sugua beast mode naiachia
Nakusubr maana unajivka vyeoNa spit madini ghali lugha kali nakimbiliwa na ban,
Naikwepa fasta kama miss chagga kwa broke man,
Nacheki hiyo mikwara naipangua naruka mpaka ndani,
Nimejaa tele Michael Joshua nakungoja nikupe freestyle burns,
Baba hii syo topik umerukia treni kwa mbele,Castr mtoto wamama
mach wizz mkali wao
nmetimba juu ya jukwaa we bishoo
Endelea kusugua gaga
Naibuka toka machimbon nkukalishe mkali wa wabovu
AKA wasojua
level hz utasubr sana
level yako ya maua sama
Yap
swali langu ni hili ww n ke au me samahani lknNakusikiliza Shostito
zawadi pia watapata kwa mshindiCastr nilikuwa nikipanga battle raia wanapotea sijui walikuwa wanaenda kuandika kwanza. Nwei kama B click yupo free aje mpige battle shunie achague mada...haha
Rafiki umeanzaKumbe kwenye msafara wa mamba ni kweli hata kenge wapo!!!🙂🙂🙂.......Tokea lini wewe ukaipenda au kuijua hiphop hadi unacomment wa kwanza hapa???........unacomment tu kisa ni uzi wa Daby!!.......Mungu anakuona!!🙂🙂🙂
umejuaje nilitaka kuuliza hili swaliHivi swahiba wewe n ke/me...jibu kwa ufupi haraka kabla sijakuchana
Lete topic naona povu limeanza kukutoka nkusambalatsheBaba hii syo topik umerukia treni kwa mbele,
Hiyo ni intro ya the beast umekalia dushelele,
Kwa freestyle hunipiti tulia we chapombe masele,
Kukuru kakara nyingi wenzako walilala mbele,
hahahhhhNichane kwanza Kuna MTU kaniita namsubiri Aulize then ntaunganisha majibu huenda mkawa na swali moja we ni chane tu kwani Jinsia inahusikaje kwenye michano???twende kazi
Daby hivi ulikuepo moyoni kwanguHaha... ndiyo hilihili....wala usihangaike kusubiria la huyo..
Ndiyo hili
hahahhh kachanwa wapi hukoNdo maana umechanwa kule na ID zako huenda kweli sasa kama we siyo Shunie umelijuaje swali LA Shunie muoneee